Halafu nawewe umeliona eeehhh huko nyuma hakuwa hivyo kabisa,,sijui kawa na majukumu?
Hahah nahisi sababu ni vile kaachana na Maureen...
Msimuone kobe kainama ujue ..............!
Mark my words KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUBWAA!!!!!!!!!
HahahaMi simwanini manoah hata kidogo...atakuwa anabanwa kiaina fulani na mtu wake. Mara ya mwisho nilisikia kuwa wamepeana ID na password na naniliu wake, kwahiyo kwa namna yoyote hawezi kuongea maneno kama ya siku za nyuma!
Mi simwanini manoah hata kidogo...atakuwa anabanwa kiaina fulani na mtu wake. Mara ya mwisho nilisikia kuwa wamepeana ID na password na naniliu wake, kwahiyo kwa namna yoyote hawezi kuongea maneno kama ya siku za nyuma!
Inawezekana pia labda kale kaban k Judgement kalimpa fundisho lol dogo kawa kama Askofu vile
Huko nyuma utundu wa manoah ulikua mkubwa sana, ila siku za karibuni umekuwa mdogoooo!!
Ok sasa nikanywe wapi kwa mfano? ?Kijana bado zamu yako aisee na kwenda makalio bar upunguze km sio kuacha kabisa lol
Pole....Maureen yupo, ila sio mpenzi wangu tena, japo mie na yeye tunabaki kama ndugu au marafiki kwasababu tulikua wapenzi wenye malengo chanya, na hatujapenda tuyakatize.
Hapo umekosea, kwa masahihisho angalia slogan yangu hapo chini...