Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Hii thread mbona ina watu wengi kwani kuna nn humu mnipe report
Shikamoo!
Hii thread mbona ina watu wengi kwani kuna nn humu mnipe report
umejuaje sasa weewe kaka yangu umeshindwa kunipa copy mie mdogo wako kwanini lakini au kwa sababu nilikula chakula chako walichokuwekea wakati hukuwepo home na ulipokuja ulinitandika makofi huku ukijua kuwa mm mdogo naendesha kama kaatapila [naharisha] mpaka nika............... palepale si vyema ulivyofanya nitamwambia wifi yangu au niseme sasa nisemeeeeeee Erickb52
Haya we baki kuwa unabalance na Lily Flower ilhali Mungi akija unakaa kando! lol
Lol
Haya bhana sifi tena.
Haya we baki kuwa unabalance na Lily Flower ilhali Mungi akija unakaa kando! lol
Sometimes marafiki wanahitajika ku balance equation....
Lol
Haya bhana sifi tena.
Tabia gani tena?
Kwani kuna baya lenye limekunenea?