Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Heheheee hizi zilipendwa...!
Nilishabadilika Vin Diesel
Tupo kwenye fungate...haya mambo ya kawaida sana....
Ulishasema neno kama hilo kwa Amney yako wapi?
Nilikumbuka ila nitonye na Vin Diesel wameniharibia moody yangu.
Wana viherehere kweli.
Ntakuambia badae usijali ngoja waondoke kwanza
Carbon copy kwa Kipipi aka peremende....
Kopi Kipipi aka peremende....
Habari nzuri kiperemende....naumiza kichwa tu siku party ntaenda na nani....maana nimetoa ahadi nyingi mpaka basi..
Wabebelee wote uende nao.
Mbona AY kwenye party zone kazungukwa na vimwana kibao tu!