Bora bby umemtema na unoko wake.
Nimekumiss... mzima Kipipi wangu?
Habari nzuri kiperemende....naumiza kichwa tu siku party ntaenda na nani....maana nimetoa ahadi nyingi mpaka basi..
Teh niko hapa mitaa ya Njiro...!
Nipe uelekeo
Tatizo wote wababe na wana wivu...nafikiria niende na rafiki yangu Lily Flower kubalance....
Shoga yako ndio alikuwa kiguu na njia...na hata iweje pale sirudi ng'ooooo.Hayo yote ni matokeo ya kumuacha swahiba wangu wa ukwee'eh sweetlady,
Ona sasa mnavyotangatanga.
Sasa hivi kila kitu kingekuwa kishapangiliwa . . . we ungesubiri kukumbushwa tu!
Wateme tu bhana kwanini nisifutahi ukiwatema?
Mi niko poa nimekaa tu
Shoga yako ndio alikuwa kiguu na njia...na hata iweje pale sirudi ng'ooooo.
Utaniua Kipipi
Nilijua tu watu8 asiwepo katika hii column si yangekuwa makubwa