thubutuuu! Kuliko nikupe wewe bora iliwe na nyenyere wallah! Mwanaume macho juu juu kama kinyonga!Hahahaaa kumbe ndo mana hukunisumbuaga eeeh turudie tena King'asti ila usije na pichu iliyochorwa JEMBE na NYUNDO kwa nyuma.
jaman jaribu kukumbuka
thubutuuu! Kuliko nikupe wewe bora iliwe na nyenyere wallah! Mwanaume macho juu juu kama kinyonga!
Kakuambia nani wakati nimetoka kuwapelekea kifungwa kinywa asubuhi hii unajua ile siku ya kwanza baada ya ndoa inavyokuwa ndo wako hivyo.Weeeee usitutukane na bado yuko probation
sasa ni za Mamndenyi, Lily Flower ama ni KOKUTONA? Shemeji shemeji mtata! Bora uchague mmoja uje tufanye ile barbecue yetu, nna nusu mbuzi hapa na kuku 2 viporo vya new year. Na smoked sausage 30cms.
Kakuambia nani wakati nimetoka kuwapelekea kifungwa kinywa asubuhi hii unajua ile siku ya kwanza baada ya ndoa inavyokuwa ndo wako hivyo.
Copy Mungi, Vin Diesel na Mamndenyi
Kakuambia nani wakati nimetoka kuwapelekea kifungwa kinywa asubuhi hii unajua ile siku ya kwanza baada ya ndoa inavyokuwa ndo wako hivyo.
Copy Mungi, Vin Diesel na Mamndenyi
We umekuwa Housegirl wao?
Kaa na mumeo
Wewe naona unahamu na sero ngoja aje my hazibandi wangu aseme kama ni kweli ila mie nakanusha. Copy MungiShida ya Mungi akigonga tatu kifuatacho ni ulinzi shirikishi yaan kunako 6*6 hashughuliki bali anaweka mkoni kwenye kifanyio cha wife kuhakikisha mwingine hamzunguki heheheeee
copy kwa Filipo Arushaone Mungi Lily Flower Blaki Womani LiverpoolFC na Mr Rocky
Mie ni rafiki wa karibu wa Vin Diesel na pia ni wifi yake Mamndenyi , Mungi ni shemeji kwa Vin Diesel.We umekuwa Housegirl wao?
Kaa na mumeo