Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Mungi na Erickb52 nimechemsha mie hapa nilipo hoi

Ushahidi huu hapa dadangu Dena Amsi.
mwone mumeo Mr Rocky anafanya nini kwa sweetlady
sex-sex-and-sexuality-33151327-500-330.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa aiseee yan umenivunja mbavu kaka lol
Hako kananii kana macho ya kipekee lol utadhani pua za Kiboko akiwa majini

umeona eeh!! sasa ndivyo hao waheshimiwa walivyoondoka, by the way BAGAH yuko wapi siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
what?! kama una chochote unataka kuongea na Smile ujumbe wake hupitia kwangu kwanza, hivyo ni pm ntaukagua halafu ntatafuta lugha nzuri ya kumwambia unachotaka kumwambia

I'm very siriaz....naomba umuite hapa maana kuna case inamuhusu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom