Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
ha ha ha ha haaaaaaaaa mmmmh Vin Diesel unabembeleza kama vile vya ukweli kweli jamani, loh,
mie naenda kuosha macho kule kwa watu wazima then napotea kidogo but usihofu najua yatakuwa sawa tu.
Ni kweli kweli mke wangu Mamndenyi....usipotee sana maana wajua hata ukiwa nami bado nakumiss...sembuse ukiondoka....
Kaka hawa jamaa yan macho yao yako juujuu kama tiara au Rada lol
Ukizubaa utashangaa Smile kahamia mikononi mwao!
Umeona eeeeeeh?Werrraaaa werrraaa Vin Diesel kuja on hii makitu.
hah!!weeeeeeeeeeeeH walishindwa BAGAH na Nicas Mtei wakaondoka nyuso chini kama Nissan mach ndo wataweza wao?
Be gud out there eeeh Mamndenyi.....love u mingi mingi...
Kaka hawa jamaa yan macho yao yako juujuu kama tiara au Rada lol
Ukizubaa utashangaa Smile kahamia mikononi mwao!
Hapa naona Takrima imehusika hahahaaaaaHakuna cha nani wala nini ni Vin Diesel.
Kaka hawa jamaa yan macho yao yako juujuu kama tiara au Rada lol
Ukizubaa utashangaa Smile kahamia mikononi mwao!
Hapa naona Takrima imehusika hahahaaaaaHakuna cha nani wala nini ni Vin Diesel.
Hahahaaaaa aiseee yan umenivunja mbavu kaka lolhah!!weeeeeeeeeeeeH walishindwa BAGAH na Nicas Mtei wakaondoka nyuso chini kama Nissan mach ndo wataweza wao?