I'm very siriaz....naomba umuite hapa maana kuna case inamuhusu....
Ok poa...
Utaandaa dinner au nijimalize kwa mtaa?
I miss Kipipi...yupo wapi huyu mrembo...
Dah . . . . . . leo naona kitaa kitahusika kwakweli!
I miss Kipipi...yupo wapi huyu mrembo...
waoh!!! we mtu hutajwi!!! hepi nyu yia
Yan mwanzo nilikuonea wewe ila kwa Dena Amsi mi zaidi
Si unajua system ya Invisible,
Ukitajwa tu king'ora kinalia. lol
Asante na kwako pia mpendwa wangu.
Umepotea kweli sijui ulifichwa/ulijificha wapi?
We Erickb52 ni ndugu yangu ila ni mzee wa majungu mpaka yamejichora usoni aise
We badala ya kujenga ndoa yangu unaibomoa kabisa
Dena Amsi usiwasikilize hawa na wanatuonea wivu tunavyopendana
Na hizo picha sio za kweli hapo nilikuwa nampa sweetlady huduma ya kwanza aliishiwa pumzi kwenye mazoezi ya kwaya
Yupo kwao Sitimbi!
samahani huko sitimbi ni wilaya gani na mbunge wenu ni nani?
Pole.We Erickb52 ni ndugu yangu ila ni mzee wa majungu mpaka yamejichora usoni aise
We badala ya kujenga ndoa yangu unaibomoa kabisa
Dena Amsi usiwasikilize hawa na wanatuonea wivu tunavyopendana
Na hizo picha sio za kweli hapo nilikuwa nampa sweetlady huduma ya kwanza aliishiwa pumzi kwenye mazoezi ya kwaya
Dah poa ni ndio najiamaliza hapa...!
Karibu