Sasa kama alifanikiwa kukuficha mpaka leo basi you are LOGEKABLE! LOL
Za siku nzuri tu ndugu yangu, habari za mwaka jana?
Dah tunakuja kaka[/QU
karibu sana!usimuache kamanda wangu mkuu wa majeshi Arushaone!na wengineo!
Dah unamiss mambo mazuri[/QU
aisee si mchezo!ila nikirudi lazima twende kule twitter bar!poa man you guys have fun!
kesi gani hiyo mkuu, mie naweza msaidia kujibu!!
sasa hapo umeongea, binafsi nimemmis kweli huyu mtu, unamkumbuka Golden Mpoleeeeeee?
Karibu ndofu
Vin Diesel ulisababisha maafa lol
Yupo kwao Sitimbi!