Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Kwani nane ni wengi?
Hivi ushawahi muuliza anapojiita watu8 anamaanish nini?
Heheheheee isijekuwa ndio idadi ya Small na Big hausi ooh utajikuta we hata kwenye hao nane humo
Hahahahaaaa

Hahaha...mkuu hili ni jeshi la mtu mmoja lenye vikosi nane ogopa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom