Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Kaka hawa jamaa yan macho yao yako juujuu kama tiara au Rada lol
Ukizubaa utashangaa Smile kahamia mikononi mwao!
Mungu katuchagulia ndugu....twamshukuru katuruhusu kuchagua marafiki ndio maana nikakutana na Lily Flower....
Ndio mnavyoanzaga nyie kwa maneno matamu ya kutia moyoMungu katuchagulia ndugu....twamshukuru katuruhusu kuchagua marafiki ndio maana nikakutana na Lily Flower....
Erickb52 mie natoka kidogo mpe salamu Vin Diesel kuwa tutakutana tena Mungu akipenda.
Unaenda wapi mke wangu...
Ndio mnavyoanzaga nyie kwa maneno matamu ya kutia moyo
Mungi hana ubavu wa kumiliki mtoto mzuri kama huyo pale anazugwa tu
mie bana hapana, Vin Diesel kiukweli bado haujatulia sitaki kupasuka mishipa ya roho mie, nakupa ruhusa go ahead.
Tumeshafunga ndoa kaka nitonye.