Manji: Nchi yangu hainithamini

Manji: Nchi yangu hainithamini

Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.
Hueleweki nani kakutaza na wewe ufanye kazi kwa bidii utajirike, au unataka utaifishaji urudi,wewe unaonekana kijana mdogo saana hukuona, tulifanya nini tulipopewa mashamba, majumba, biashara na mpaka mabucha ya nyama baada ya kutaifishwa, tizama pia yaliyotokea Uganda na Zimbambwe, hawa ni watanzania kama sisi na kizuri zaidi wanalipa kodi za serikali zinaleta maendeleo, wewe unataka utajirike ukikaa nyumbani cheza bahati nasibu.
 
katika tukio moja mwaka flani katika utawala wajk na kitilya pale tra manji alishasamehewa kodi ya bilioni tatu kwa kutoa hongo ya milioni 800...hii story ilinishtua sana!
 
Huwa Na Washangaa Kuona Baadhi Wabongo Wakijenga Ukabila Kwa kuwalaumu Wachagga, Nyakusya Na Haya Tribe. Lakini Tangu Uhuru Hawa Watized Wenye Asili Ya Kiasia Na Kiarabu Ndio Wana Run Tized. Racist Mna Kazi Kuweza Kuona Big Picture.

Acha dharau na upotoshaji! Sio kweli kwamba wahindi na waarabu ndio wanaendesha uchumi wa Tanzania. Kundi hili limepata upendeleo kwa muda mrefu,tangu kabla ya uhuru na kuchukua fursa zote kwa gharama za watanzania wazawa.
 
Borat69 Bramo Daud1990 nashangaa kwa nini hoja nyepesi namna hii mnashindwa kuielewa. Ninaposema Manji ni mhindi simaanishi kwamba anatoka India. Kuna wajaluo Kenya na wapo wajaluo Tanzania pia, kuwa Mjaluo hakukufanyi uwe ni Mkenya au Mtanzania. Mimi ninachotaka mniambie ni kwamba Manji kakosa sifa gani ambazo nyie mnazo zinazomfanya asiwe ni mtanzania? Kama ni rangi yake na uasili wake ndiyo unawafanya nyie msimuone Mtanzania, basi huo ni Ubaguzi na hauna tofauti na MAKABURU wa Afrika Kusini waliokuwa wanambagua Mwafrika kutokana na rangi yake!


Australia ni nchi inayopatikana asia lakini kihstoria ni nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wa nchi hiyo ni hard criminals waliohamishwa kutoka nchi za ulaya kama uingereza.... mind you hawa raia wa nchi za ulaya si kwamba walikuwa na mahusiano ya aina yoyote na bara la asia ila walihamishiwa huko...

Hawa ndugu zetu wahindi kubali kataa wana mahusiano na watu ambao naweza kusema ni ndugu zao kutoka india... Na ndio maana wengi wao wana pasport zaid ya moja.... Hivi kwa akili zako timamu kila mwananchi akiwa na pasports zaid ya moja utasema kuna watanzania wa kweli wanaoheshimu katiba inayotamka uraia wa nchi moja...

haya ni baadhi ya mambo yanayonifanya nimuone huyu jamaa sio mtanzania....
 
Last edited by a moderator:
Kuna jambo linanitatiza kuhusu Manji. Kwasababu uko karibu nae naomba unisaidie ni kwanini aliutaka UMEYA wa DSM kwa grarama yoyote ile. Alikuwa ameshawaweka mfukoni UKAWA wote. Ni bahati tu CCM haikumpitisha kuwa mgombea UMEYA otherwise ilikuwa imetoka.

Nini sasa anatafuta na mahela yoooteee aliyonayo na ma hayo Ma big investment aliyonayo.

Kwanini rate za mashule ya kihindi na pango ni tofauti kwa mhindi na mswahili??

Mwisho nisaidie Kama umewahi kuhudhuria ndoa ya mhindi na mswahili.


Queen Esther

Asante sana Queen Esther,
Kuna watu hawayajui haya mambo, au sijui ndio kujitoa fahamu kwa sababu huwa wanatafuna tambuu na hao kina Manji.
 
Unaweza kuniambia ni nani alikuwa anayaorodhesha hayo makabila? Unajua ni kwa nini Wajerumani na Waingereza wanaitwa wakoloni wakati Waarabu na Wareno wanaitwa wafanyabiashara? Historia ina tabia ya kuendelea kujiandika. Mwaka 1991 Tanzani ilikuwa na chama kimoja tu cha siasa, lakini baada ya mwaka 1992 bado Tanzania iliendelea kuwa na chama kimoja cha siasa? Hayo makabila yalihesabiwa mwaka gani na yalihesabiwa na nani? Hayo mambo ya kukaririshwa wengine hatuna habari nayo!!


Jibu swali acha mbwembwe
 
usitarajie mengi atakuwa na jema kwa manji hata siku moja. kwa sababu wanamgongano wa kimasilahi.

Ahame inchi,namjua kama mpigaji na mdhulumati ukifuatilia apeech ya mengi JPM hawezi muonea ivi ivi tuu kuna rafu apo.
Maana utajiri wote alionao ukiuliza kodi alipayo sasa ndo unaweza zimia
 
Queen Esther unataka kuniambia kwamba viongozi wa CCM huwa wanashinda kwa kununua kura? Halafu huyo Manji kwa nini awanunue wapiga kura wa UKAWA badala ya kuwanunua CCM wanaopitisha jina la Mgombea U-meya? Mbona unataka kujenga picha kwamba wanunua kura wapo CCM ila kura zinazonunuliwa zipo UKAWA? Kwa nini Manji asinunue kura za wana CCM wenzake?
 
Last edited by a moderator:
Manji anachukiwa na kila mpenda maendeleo ya nchi hii, na kila mzalendo. Ni fisadi ameihujumu nchi kwa kufanya tenda za kihuni. Kwa nini hachukiwi bakhressa? Kwa nini hachukiwi sabodo au mengi? Ingekuwa china manji angesha..... Basi tu. Dr Magufuli doctor uliyesomea fanya kaz baba awamu hii kazi tu majungu,fitna na unafiki ulishapita

Usiseme sana kwani alikuwa anaaamua mwenyewe kufanya hayo au kulikuwa na mfumo unaoruhusu na kulinda hayo! Manji ni zao la serikali ya ccm,mfanya biashara anafuata mfumo wa serikali iliyopo.
 
Ili uamini wahindi wa nchi hii sio watanzania.. katika kipindi cha uchaguzi mkuu asilimia kubwa ya wahindi walikuwa wanajiandaa kurudi kwao kama nchi ingechukuliwa na upinzani..(hii ni according to them)... nakumbuka hotuba moja ya magufuli alisema " Ndugu zangu wenye asili ya asia nipeni kula zenu achaneni na propaganda kuwa mtarudi kwenu kama nikishinda uraisi"

Mtu kuwa na mawazo hayo ni sababu tosha wewe sio mtanzania.... mbona maswali hayo hakujiuliza mchaga,mfipa au mzaramo.... Hawa na makibila mengine ndio watanzania...

Kama utaniita mimi ni racist poa ila hata bendera ya taifa ya nchi hii hakuna rangi inayoonesha uwepo wa hawa wadudu...
 
MENGI nae achunguzwe kwa udalali wake kwenye MIGODI na km ni mlipaji wa kodi
 
Jamaa rafiki yake mkuu ni mshindi wa pili nyuma ya jpm. Mchafu tu ni jipu tu.
 
Jibu swali acha mbwembwe
Ili swali liwe swali unajua kuwa ni lazima liwe na vigezo vyake. Kuna swali gani sijalijibu? Mimi ndiyo nimewaulizeni nyinyi mtaje vigezo vya mtu kuwa Mtanzania mpaka sasa hakuna jibu. Somji Juma katoa maelezo ya kujikanganya kuonesha kwamba kuna mtanzania na raia wa Tanzania, ambayo mimi nayashangaa sana. Hivi unaweza kuwa Raia wa Tanzania na usiwe mtanzania? Semeni basi sifa za mtu kuwa "Mtanzania" na mseme kuwa Manji hana sifa hizo!!

 
Last edited by a moderator:
Ili swali liwe swali unajua kuwa ni lazima liwe na vigezo vyake. Kuna swali gani sijalijibu? Mimi ndiyo nimewaulizeni nyinyi mtaje vigezo vya mtu kuwa Mtanzania mpaka sasa hakuna jibu. Somji Juma katoa maelezo ya kujikanganya kuonesha kwamba kuna mtanzania na raia wa Tanzania, ambayo mimi nayashangaa sana. Hivi unaweza kuwa Raia wa Tanzania na usiwe mtanzania? Semeni basi sifa za mtu kuwa "Mtanzania" na mseme kuwa Manji hana sifa hizo!!



SABABU ZA MANJI NA MAKANJUBHAI WENZAKE KUTOKUWA WATANZANIA

1. KATiba ya nchi yetu inatambua uraia wa nchi moja.. Hivyo basi ni lazima uwe na pasport moja.. Ila hawa wenzetu sio manji tu wana pasport zaid ya moja kinyume na katiba ya nchi inayotambua uraia wa nchi moja

2. Narudia tena Tanzania hakujawahi kutokea kabila likaitwa WAHINDI...Niambie mkoa wanaotoka wahindi... Tanzania kila kabila lina mtani wake wa kikabila kama vile Muha na mhaya au mjaluo... Msukuma na watu wa pwani...
niambie Hili mnalosema kabila la wahindi mtani wake nani kikabila... Kupitia mahusiano haya ya kikabila ndio chanzo hata cha kuoweana.. Sasa nikuulize wewe umeshawahi kuhudhiria ndoa ya Ndugu zangu waluguru na mhindi...
 
Last edited by a moderator:
Acha upumabavu yule ni mhindi....watu wa Mbagala wamempa uDiwani sababu aliwapa elf 10 kila mmoja wewe unaweza kwenda INDIA ukapewa uongozi...

kuwa mstaarabu wewe kijana hapa sio facebook unatoa maneno machafu .....sisi wazawa haya mambo ya ubaguzi tulishayaweka pending tulishaona mbali yanatukosesha maendeleo! sasa wewe umeanza kuyakumbushia ili iweje? fanya kazi fanya kazi acha ubaguzi usiokuwa na profit yeyote kwetu
 
Ni kweli anaweza kuhama nchi ila tujue tu atahama na ajira za watu kibao ambao mpaka sasa serikali bado haijajipanga kuwapa ajira wala kuwawezesha kujiajiri.

Siungi mkono ufisadi ila nawakubusha tujadili haya mambo kwa kuangali pande zote ili watu waweze kujipanga.

Acha kua kama haujaenda shule huwezi kumkumbatia mtu kisa eti atahama na ajira? ajira ni kitu gani? nani umeshawahi kusikia kwamba amekufa kisa hana kazi? kwanza ajira zipi unazozizungumzia kua specific au hizi kazi za kipuuzi za wahindi waoajiri vibarua miaka nenda miaka rudi...
 
Mpeni Tu!! Sio Nchi Yetu, Hatuhitaji Huo UTAJIRI Wake Ndani Ya SERIKALI YETU!!! Mr President Sio Anamchukia, Bali Yeye Anawafahamu Hao Ni WAPIGA DILI Tu!!! Hivi Huo UZALENDO Kwa TANZANIA YETU Hii Ni Wa UKWELI Au KUTAFUTA Fursa Tu!!! Maana Tuliona Wkt Wa Tender Ya KUTENGENEZA Yale Matera Ya Kusombea TAKA Manispaa Ya K/ndoni!! Yalitengenezwa Chini Viwango Ambavyo Walivyokuwa WAMEKUBALIANA!!! Hali ILIYOPELEKEA Madiwani Kuyagomea, Lkn Cha Kushangaza Baadae Baadhi Yao Waligeuka Na Kuyapitisha!! Ndio Yale Yenye Kuvutwa Na Matrekta Kule K/ ndoni, Rangi Ya Manjano Mpauko!!!! Watengenezaji Ni Quality Gerage!!! Haya Mara Coco Beach, Magomeni Kota N.k. ALAFU Eti RAIS Anamchukia!! Kama RAIS Anamchukia Kwa Yeye KUTAKA KUPIGA DILI, Na WATANZANIA Tunamchukia Pia!!!!

mkuu thanx kwa maelezo mazuri big up...nikweli our presi hamchukii mtu yeyote yule..yeye anachoangalia ni haki! lakini kuna mijitu humu inajifanya wajuaji sana wameanza kuleta maswala ya ubaguzi! jamani sisi watanzania lini tutaelimika kama ndio bado tunaendekeza haya mambo..hebu tuwe wastaarabu kidogo! ni hayo tu mkuu
 
Back
Top Bottom