Manji: Nchi yangu hainithamini

Manji: Nchi yangu hainithamini

Unaweza kuniambia ni nani alikuwa anayaorodhesha hayo makabila? Unajua ni kwa nini Wajerumani na Waingereza wanaitwa wakoloni wakati Waarabu na Wareno wanaitwa wafanyabiashara? Historia ina tabia ya kuendelea kujiandika. Mwaka 1991 Tanzani ilikuwa na chama kimoja tu cha siasa, lakini baada ya mwaka 1992 bado Tanzania iliendelea kuwa na chama kimoja cha siasa? Hayo makabila yalihesabiwa mwaka gani na yalihesabiwa na nani? Hayo mambo ya kukaririshwa wengine hatuna habari nayo!!

hahahahaa mkuu watoto wa darasa la pili wamejaa humu kama utitili...vinalopoka tu without thinking, then vinajiita great thinker tehtehtehteh...jamii forrums imeingiliwa kwakweli
 
Chiduo hapa hatuzungumzii ubaguzi bali tunazungumza kama Manji ni Mtanzania ama la! Mimi nataka kina Borat69 waniambie sifa za mtu kuwa Mtanzania ni zipi na waniambie Manji ni sifa gani kati ya hizo hana ili tujue wana hoja ya msingi wanaposema kwamba Manji si Mtanzania. Mandela angekuwa kama nyie leo sijui Afrika Kusini ingekuwaje?

Watu wenye sifa kama zenu ndiyo wale wamejazana Afrika Kusini kwa sasa wanaodhani waafrika wenzao toka nchi nyingine wamekwenda nchi kwao kuchuka nafasi zao za kazi. Mimi nachukia ubaguzi hata ufanywe na nani. Hakuna mahali kwenye bandiko langu nimesema kwamba wahindi hawabagui watu weusi, bali ninatetea sifa za mtu kuwa Mtanzania ambazo nadhani Manji anazo. Tatizo lenu badala ya kujadili hoja zangu mnanijadili mimi.

Nina shughuli zangu zinazoniweka mjini na kunipa uwezo wa kununua dona na kauzu wa kulisha tumbo langu!!

Nilidhani una akili kumbe na wewe na zao la milembe..... Hujajibu maswali ya wadau ila unajifanya mbabe wa kidought hoja za wenzako....

Nakubaliana na wewe 100% kuwa ni kweli kuna muingiliano wa watu ndio maana tanzania kuna wamasai na kenya kuna wamasai... Asili ya nyerere ni rwanda lakini nyerere hakuwa mrwanda wala hakuwa na pasport ya rwanda....

Muhindi anapojiita mtanzania halafu anakuwa na pasport ya india unataka tuseme nini au hujui mchakato wa kupewa pasport n mpaka uwe raia wa nchi husika.... Acha upumbavu fanua simple research hapa mjini uone wahindi wana pasport ngapi ndio ujenge hoja zenye afya....

Nimekwambia unitajie mkoa wanaotoka hawa wadudu hujajibu lolote.....
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu huwa wanashindwa kujenga hoja na kukimbilia kutukana au kujaribu kuleta lugha za kihuni. Mimi na Manji hatujuani na wala sina maslahi naye kwa vyovyote vile. Hapa ninachotaka kujulishwa sifa za mtu kuwa mtanzania ni zipi? Mimi na Manji tuna tofauti kubwa sana.

1. Manji ni Muislam mimi ni Mkristo.

2. Manji CCM mimi CHADEMA

3. Manji anaishi Dar mimi naishi Iringa

4. Manji ni Yanga mimi ni Simba

5. Yeye Mhindi mimi Mnyamwezi

4. Yeye Mfanyabiashara Mkubwa mimi Machinga

Mjadala huu ni kutaka kujua sifa za mtu kuwa mtanzania na wala si mjadala wa ufisadi wa Manji au utajiri wake ameupataje. Ikifika kujadili ufisadi wake basi huko tutajadili ufisadi. Lakini katika hili hakuna mwenye hoja za kushiba kueleza ni kwa nini wengi wenu mnafikiri kwamba Manji si mtanzania. Kama tukizijua sifa za utanzania basi ndiyo tutaweza kujua kama Manji ni mtanzania au la.

Somji Juma alisema unaweza kuwa Raia wa Tanzania lakini usiwe Mtanzania. Nikataka kufafanuliwa inakuwaje uwe Raia wa Tanzania ingawa si Mtanzania. Mimi sikuelewa lakini Mzito Kabwela alimuelewa, na wengine pia labda wamemuelewa. Ninachotaka kueleweshwa ni hiki. Utanzania ni nini?
 
Mkuu Allen. Hapa suala kubwa ni ujanja ujanja na utapeli, uonezi na ubinafsi Wa mhindi huyu. Usitete kwa kujificha kwenye utanzania. Mbona humu jf kuna kashifa zake nyingi tu za kuitapeli na kuihujum serikali kwa kuwarubuni wafanyakazi wasio wazalendo.kwa tangazo linaloendelea inaonekana hata lile ombi la Mkuu Wa mkoa Wa Dar kuwa aachane na suala hilo amelipuuza. Sasa hapa kuna utanzania? Mhindi ni mhindi tu. Mkuu achana na kanjibhai.
 
Nilikuwa sijui, kumbe Manji ana Passport ya India? Basi Chama chake cha CCM inabidi kishitakiwe kwa kusimamisha mtu wa taifa jingine kugombea udiwani Tanzania. Na pia inaonekana watu wa UKAWA ni wa ajabu kabisa, walishindwaje kumwekea pingamizi raia wa India hadi akachaguliwa kuwa Diwani wa Mbagala Kuu? Watu wa uhamiaji nao Magufuli awatumbue majipu, maana kuna mtu anajulikana kabisa na watu ambao hawafayi kazi Uhamiaji kwamba si Mtanzania lakini wao wanajifanya hawamjui!! Kamata Manji rudisha kwao India.

Mashabiki wa Timu ya Yanga nao walikosa mtanzania mwenzao kuwa kiongozi hadi wamchague mtu wa taifa lingine kuwa Mwenyekiti wao. Hivi simba wakipinga ushindi wao kwa kuwa wanaoongozwa na mtu ambaye si mtanzania watalalamika kweli?

Hebu Chiduo na Daud1990 nisaidieni kuujua Utanzania!!
 
Last edited by a moderator:
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!
Tumia akili japo kiduchu tu, unawajuwa Wahindi? Jamal aliaminiwa na nyerere na akampa uwaziri wa fedha hebu tueleze alipokufa alikwenda kuzikwa wapi? hivi ujinga ni kipaji kumbe?
 
Nitakuuliza maswali kadhaa naomba majibu mkuu.
A) Tembelea kwenye makampuni mengi ya Wahindi,Je hakuna ubaguzi wa wazawa huko?
B) Kwenye maghorofa Yao ya makazi huko Upanga na kwengineko hakuna ubaguzi katika upangishaji!? Hili limeshamkuta mdogo wangu.
C) Kama wao ni wabantu kwa nini wasikubali tuwaoe madada/mabinti zao!?
D) Katika shule zao (ie: Al muntazir etc) unajua ubaguzi unaoendelea huko!?
E) Umeshawahi kwenda BOA BANK!? Huduma kwa Golo zikoje!?
F) Unajua maana ya neno GOLO!? Wanatumia Wahindi kutuita sisi Watanzania wazawa.

Golo maanake ni nyani mweusi. Unajua sisi waafrika huwa wanatuhesabu kama '' the untouchables'' yaani watu wasio na thamani -dalits.
 
Mwizi tuu huyo, na ni bonge la jipu linalohitaji mtumbuzi. Deal zake zote na serikali ni viini macho na maigizo, kuanzia Ubungo plaza, Quality Mall na zinginezo
 
wahindi wanafikiri waliowatumikisha waswahili akili zinafanana!, ukifanya kazi kwao hawataki utoke kimaisha!
 
Kuna watu huwa wanashindwa kujenga hoja na kukimbilia kutukana au kujaribu kuleta lugha za kihuni. Mimi na Manji hatujuani na wala sina maslahi naye kwa vyovyote vile. Hapa ninachotaka kujulishwa sifa za mtu kuwa mtanzania ni zipi? Mimi na Manji tuna tofauti kubwa sana.

1. Manji ni Muislam mimi ni Mkristo.

2. Manji CCM mimi CHADEMA

3. Manji anaishi Dar mimi naishi Iringa

4. Manji ni Yanga mimi ni Simba

5. Yeye Mhindi mimi Mnyamwezi

4. Yeye Mfanyabiashara Mkubwa mimi Machinga

Mjadala huu ni kutaka kujua sifa za mtu kuwa mtanzania na wala si mjadala wa ufisadi wa Manji au utajiri wake ameupataje. Ikifika kujadili ufisadi wake basi huko tutajadili ufisadi. Lakini katika hili hakuna mwenye hoja za kushiba kueleza ni kwa nini wengi wenu mnafikiri kwamba Manji si mtanzania. Kama tukizijua sifa za utanzania basi ndiyo tutaweza kujua kama Manji ni mtanzania au la.

Somji Juma alisema unaweza kuwa Raia wa Tanzania lakini usiwe Mtanzania. Nikataka kufafanuliwa inakuwaje uwe Raia wa Tanzania ingawa si Mtanzania. Mimi sikuelewa lakini Mzito Kabwela alimuelewa, na wengine pia labda wamemuelewa. Ninachotaka kueleweshwa ni hiki. Utanzania ni nini?

umeelewesha au unauliza swali?
 
Watu wa afrika hawajui kuwa kuna waafrika India..wanaitwa Sidi. walipelekwa India kama askari na watumwa. Wananyanyaswa sana wakati ni wazalendo wa India waliotoa mchango mkubwa sana katika historia ya India. Lakini sijawahi sikia m-sidi yeyote aliewahi kuwa hata waziri wa jimbo.
Sidis: India?€™s Lost Black Africans
 
Kuna watu huwa wanashindwa kujenga hoja na kukimbilia kutukana au kujaribu kuleta lugha za kihuni. Mimi na Manji hatujuani na wala sina maslahi naye kwa vyovyote vile. Hapa ninachotaka kujulishwa sifa za mtu kuwa mtanzania ni zipi? Mimi na Manji tuna tofauti kubwa sana.

1. Manji ni Muislam mimi ni Mkristo.

2. Manji CCM mimi CHADEMA

3. Manji anaishi Dar mimi naishi Iringa

4. Manji ni Yanga mimi ni Simba

5. Yeye Mhindi mimi Mnyamwezi

4. Yeye Mfanyabiashara Mkubwa mimi Machinga

Mjadala huu ni kutaka kujua sifa za mtu kuwa mtanzania na wala si mjadala wa ufisadi wa Manji au utajiri wake ameupataje. Ikifika kujadili ufisadi wake basi huko tutajadili ufisadi. Lakini katika hili hakuna mwenye hoja za kushiba kueleza ni kwa nini wengi wenu mnafikiri kwamba Manji si mtanzania. Kama tukizijua sifa za utanzania basi ndiyo tutaweza kujua kama Manji ni mtanzania au la.

Somji Juma alisema unaweza kuwa Raia wa Tanzania lakini usiwe Mtanzania. Nikataka kufafanuliwa inakuwaje uwe Raia wa Tanzania ingawa si Mtanzania. Mimi sikuelewa lakini Mzito Kabwela alimuelewa, na wengine pia labda wamemuelewa. Ninachotaka kueleweshwa ni hiki. Utanzania ni nini?
Sasa ili usionekane mjinga, fanya utafiti kwenye vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama kuna muhindi hata mmoja? au unadhani India hawana jeshi kwamba wahindi wa hapa hawawezi kutumikia jeshi? Idd Amin he was perfect.
 
Ubaguzi ni kama ugonjwa, humpata mtu yeyote yule. Waulize watu wanaosoma masomo ya Jamii kuhusu saikolojia ya watu wachache (Minority) dhidi ya watu walio wengi kwenye eneo husika.

London watanganyika husema Wazanzibar wanawabagua, Dar es salaam wazanzibar wanadaia wanagandamizwa na watanganyika. Hisia za kubaguliwa na ubaguzi ni vitu viwili tofauti. Mzee Mohamed Said anadai kuwa Waislamu wanabaguliwa katika mfumo wa uongozi na Elimu. Ni kweli?

Jibu swali kipengele kwa kipengele mkuu tena toa mifano hai inayohusiana na mada hapa
 
Last edited by a moderator:
SABABU ZA MANJI NA MAKANJUBHAI WENZAKE KUTOKUWA WATANZANIA

1. KATiba ya nchi yetu inatambua uraia wa nchi moja.. Hivyo basi ni lazima uwe na pasport moja.. Ila hawa wenzetu sio manji tu wana pasport zaid ya moja kinyume na katiba ya nchi inayotambua uraia wa nchi moja

2. Narudia tena Tanzania hakujawahi kutokea kabila likaitwa WAHINDI...Niambie mkoa wanaotoka wahindi... Tanzania kila kabila lina mtani wake wa kikabila kama vile Muha na mhaya au mjaluo... Msukuma na watu wa pwani...
niambie Hili mnalosema kabila la wahindi mtani wake nani kikabila... Kupitia mahusiano haya ya kikabila ndio chanzo hata cha kuoweana.. Sasa nikuulize wewe umeshawahi kuhudhiria ndoa ya Ndugu zangu waluguru na mhindi...

kama unataka huyo robot la kihindi akuelewe you are wasting your precious time. a fact is hakuna na haitatokea mhindi kua mtanzania. mhindi asili yake ni India, watanzania wanafahamika kua ni makabila ya kibantu na ngozi zao ni nyeusi. mwingine yoyote anakuja kutuibia rasilimalo zetu tu.
 
Nilikuwa sijui, kumbe Manji ana Passport ya India? Basi Chama chake cha CCM inabidi kishitakiwe kwa kusimamisha mtu wa taifa jingine kugombea udiwani Tanzania. Na pia inaonekana watu wa UKAWA ni wa ajabu kabisa, walishindwaje kumwekea pingamizi raia wa India hadi akachaguliwa kuwa Diwani wa Mbagala Kuu? Watu wa uhamiaji nao Magufuli awatumbue majipu, maana kuna mtu anajulikana kabisa na watu ambao hawafayi kazi Uhamiaji kwamba si Mtanzania lakini wao wanajifanya hawamjui!! Kamata Manji rudisha kwao India.

Mashabiki wa Timu ya Yanga nao walikosa mtanzania mwenzao kuwa kiongozi hadi wamchague mtu wa taifa lingine kuwa Mwenyekiti wao. Hivi simba wakipinga ushindi wao kwa kuwa wanaoongozwa na mtu ambaye si mtanzania watalalamika kweli?

Hebu Chiduo na Daud1990 nisaidieni kuujua Utanzania!!

Neno langu la mwisho kwako nakuomba uwe unafanya utafiti kabla ya kuongea humu ndani....

Mambo yote ambayo umeyaongea humu ndani ni either hujui unachokiongea kwa kutokujua ukweli au ni ubishi wakati unaujua ukweli....
 
Last edited by a moderator:
ndugu mtetezi wa wahindi... nitajie mtu mweusi yoyote aliyetoka nanjilinji kule lindi ambae ana uraia wa India na akawa na priviledges kama za wahindi hapa Tanzania, pia niambie kwanini watanzania wenye asili ya India hua wanapenda kujifungia kwenye nyumba zao walizokodisha nhc, bila kuchangamana na watanzania wenzao wa tandale, pia nipe mfano wa ndoa baina ya Masai wa arusha na mtanzania mwenye asili ya india.
 
Sina tatizo na matajiri na utajiri wao.. Wengi wa hawa wenye asili ya kiasia Tanzania imekuwa shamba la kuvuna fulsa na rasilimali.

Tufanye tathmini ya akili ya Kawaida je pamoja na uwekezaji waliofanya mpaka sasa wanalipa kodi stahiki? Kwa kiwango gani?

Ajira wanazotoa kwa watanzania zinakidhi haja za wafanyakazi ukilinganisha na ajira wanazotoa kila kukicha kwa expertriate toka kwenye mataifa ya asili yao?

Wizi mkubwa unaoligharimu Taifa kupitia tuhuma lukuki za ufisadi zinazowahusu baadhi ya walio wengi wao si ukakasi ktk kutathmini nia zao ovu kwa nchi? Mfano EPA-Manji yumo na alirudisha fedha (sina uhakika na uridishaji), Radar -ref Bae systems (Asian deal maker), Quality Plaza to PSPF (deal).

Weaknesses ktk kuwa na uchungu, uzalendo, rushwa na ufisadi vimewapa jeuri sana maharamia wa rasilimali za nchi yetu Kiasi cha kuona wana haki ya kuhonga na kununua madaraka na kuwanunulia wawatakao.

Inatosha sasa, imetosha.. JPM go ahead we humble Tanzanians do support your initiatives and efforts to bring back country dignity, respect and equality before the law.
 
Kuna watu huwa wanashindwa kujenga hoja na kukimbilia kutukana au kujaribu kuleta lugha za kihuni. Mimi na Manji hatujuani na wala sina maslahi naye kwa vyovyote vile. Hapa ninachotaka kujulishwa sifa za mtu kuwa mtanzania ni zipi? Mimi na Manji tuna tofauti kubwa sana.

1. Manji ni Muislam mimi ni Mkristo.

2. Manji CCM mimi CHADEMA

3. Manji anaishi Dar mimi naishi Iringa

4. Manji ni Yanga mimi ni Simba

5. Yeye Mhindi mimi Mnyamwezi

4. Yeye Mfanyabiashara Mkubwa mimi Machinga

Mjadala huu ni kutaka kujua sifa za mtu kuwa mtanzania na wala si mjadala wa ufisadi wa Manji au utajiri wake ameupataje. Ikifika kujadili ufisadi wake basi huko tutajadili ufisadi. Lakini katika hili hakuna mwenye hoja za kushiba kueleza ni kwa nini wengi wenu mnafikiri kwamba Manji si mtanzania. Kama tukizijua sifa za utanzania basi ndiyo tutaweza kujua kama Manji ni mtanzania au la.

Somji Juma alisema unaweza kuwa Raia wa Tanzania lakini usiwe Mtanzania. Nikataka kufafanuliwa inakuwaje uwe Raia wa Tanzania ingawa si Mtanzania. Mimi sikuelewa lakini Mzito Kabwela alimuelewa, na wengine pia labda wamemuelewa. Ninachotaka kueleweshwa ni hiki. Utanzania ni nini?

Akili za vijana wa chadema hizi wamekuwa majinga kweli kweli. Mwenyewe hapa unaona umeongea kitu cha maana?
 
Back
Top Bottom