Manji: Nchi yangu hainithamini

Manji: Nchi yangu hainithamini

Nchi yake ipi? Tanzania? Ngoja nikae kimya
Nchi yake ipi?
Umeuliza swali zuri, kwa kuwa hao jamaa huwa wanakuwa na passport 3,.
Yaani za Tanzania, India na Canada!
 
Wahindi waondoke nchini. Wazawa tumiliki uchumi.wanakazi ya kuchuma na kwenda kuwekeza kwao.watanzania tuache unafiki hawa jamaa si wenzetu.
 
Uongo umekujaa... Unasema nchi hii ilikuwa na wasomi wa kutosha baada ya kupata uhuru??? Hujielewi

We kweli ndo hujielewi na hujitambui!
Uongo wangu ni upi hapo?Iambie historia ndiyo imejaa uongo kama ni kweli na si Mimi!
Rudi darasani usome rhistoria uone ni kina nani waliopewa Uwaziri wakti wa Nyerere na nchi kama haikuwa na wasomi kiasi cha Mwalimu kukosa mtu wa kumweka kwenye nafasi ya Uwaziri wa Fueza tu!
 
Sijaona muhindi anakiburi ya pesa Kama huyu!! Kweli serikali iliyopita alikuwa kaiweka mfukoni Kabisa.
 
Borat69 Bramo Daud1990 nashangaa kwa nini hoja nyepesi namna hii mnashindwa kuielewa. Ninaposema Manji ni mhindi simaanishi kwamba anatoka India. Kuna wajaluo Kenya na wapo wajaluo Tanzania pia, kuwa Mjaluo hakukufanyi uwe ni Mkenya au Mtanzania. Mimi ninachotaka mniambie ni kwamba Manji kakosa sifa gani ambazo nyie mnazo zinazomfanya asiwe ni mtanzania? Kama ni rangi yake na uasili wake ndiyo unawafanya nyie msimuone Mtanzania, basi huo ni Ubaguzi na hauna tofauti na MAKABURU wa Afrika Kusini waliokuwa wanambagua Mwafrika kutokana na rangi yake!
 
Last edited by a moderator:
Kuna jambo linanitatiza kuhusu Manji. Kwasababu uko karibu nae naomba unisaidie ni kwanini aliutaka UMEYA wa DSM kwa grarama yoyote ile. Alikuwa ameshawaweka mfukoni UKAWA wote. Ni bahati tu CCM haikumpitisha kuwa mgombea UMEYA otherwise ilikuwa imetoka.

Nini sasa anatafuta na mahela yoooteee aliyonayo na ma hayo Ma big investment aliyonayo.

Kwanini rate za mashule ya kihindi na pango ni tofauti kwa mhindi na mswahili??

Mwisho nisaidie Kama umewahi kuhudhuria ndoa ya mhindi na mswahili.

Queen Esther

Bramo nini India nenda Kenya katuonyeshe Mtanzania ambaye ni Diwani wa kule. Huu ni Ubaguzi wa kiwango kile kile cha wale wanaowabagua wenzao kutokana na dini zao. Kama Kenya Mtanzania hawezi kuwa Kiongozi ni kwa nini mtake Mtanzania akawe kiongozi India? Manji ni Mtanzania na ndiyo maana amechaguliwa kuwa Diwani wa Mbagala Kuu, ila yeye Kabila lake ni Mhindi kama Magufuli alivyo Msukuma!!
 
Bravo,
They're not Interested.Kumbuka hapa tunazungumzia Watanzania wenye asili ya KIHINDI.Tanzania haijafikia kiwango cha Ubaguzi wa kiasi hicho kwamba kuna rangi fulani ya Watanzania hawawezi kuajiriwa kwenye taasisi fulani simply because they COLOURED Tanzanians.
Kama kuna kifungu cha sheria ndani ya Katiba kinachomzuia Mtz mwenye asili ya Kihindi kiweke hapa tukijadili! Kama Mtz mwenye asili ya Kihindi anaweza kuwa WAZIRI seuze POLISI,JESHI au Magereza?????Hakika ni kichekesho!

Nitajie Mhindi ambaye ni Waziri
Hao wabunge na Ma Diwani ni Njaa zenu tu ndio zinawafanya muwachague
 
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
ukishafanya kazi kwa wahindi akili inadumaa!, huwezi kuhama!, utabaki kutumwa tu, shabani!!!, iko toto lia! shabani!!!, iko osha gar angu iko chafu sana!, kaa kwa wahindi hukohuko, wenzako tumeishajitambua!
 
Wahindi waondoke nchini. Wazawa tumiliki uchumi.wanakazi ya kuchuma na kwenda kuwekeza kwao.watanzania tuache unafiki hawa jamaa si wenzetu.

kwani wazawa atuwezi kumiliki uchumi bila kufukuza watu wa kabila flan? au ulishawahi kwenda kuwekeza sehem ukazuiwa na wahindi?
 
Manji nae ni jipu tu, huyu ndiye alichukua tender ya power tiller baada ya kumshawishi jk kuwa zitaleta mapinduzi ya kilimo nchini wakati akijua kabisa hata huko kwao India hazikufanikiwa kabisa, achilia mbali magari mabovu ya military😬😬. Acha JPM alitumbue jipu hili japokuwa limekaa sehemu mbaya
 
Allen Kilewella

ndyo Manji sio MTANZANIA,..

Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa MTANZANIA na RAIA WA TANZANIA..
unaweza ukaja leo TANZANIA na ukaomba uraia wa TANZANIA na ukawa RAIA WA TANZANIA ila sio MTANZANIA..

MTANZANIA sio sawa na RAIA/MWANANCHI WA TANZANIA..
Mkuu umenipa darsa fupi lakini lenye uhalisia haswa. Asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Borat69 Bramo Daud1990 nashangaa kwa nini hoja nyepesi namna hii mnashindwa kuielewa. Ninaposema Manji ni mhindi simaanishi kwamba anatoka India. Kuna wajaluo Kenya na wapo wajaluo Tanzania pia, kuwa Mjaluo hakukufanyi uwe ni Mkenya au Mtanzania. Mimi ninachotaka mniambie ni kwamba Manji kakosa sifa gani ambazo nyie mnazo zinazomfanya asiwe ni mtanzania? Kama ni rangi yake na uasili wake ndiyo unawafanya nyie msimuone Mtanzania, basi huo ni Ubaguzi na hauna tofauti na MAKABURU wa Afrika Kusini waliokuwa wanambagua Mwafrika kutokana na rangi yake!

katika makabila 120 yaliyorekodiwa kuwepo Tanzania hakijawahi kuwepo kabila la kihindi.
 
Last edited by a moderator:
katika makabila 120 yaliyorekodiwa kuwepo Tanzania hakijawahi kuwepo kabila la kihindi.
Unaweza kuniambia ni nani alikuwa anayaorodhesha hayo makabila? Unajua ni kwa nini Wajerumani na Waingereza wanaitwa wakoloni wakati Waarabu na Wareno wanaitwa wafanyabiashara? Historia ina tabia ya kuendelea kujiandika. Mwaka 1991 Tanzani ilikuwa na chama kimoja tu cha siasa, lakini baada ya mwaka 1992 bado Tanzania iliendelea kuwa na chama kimoja cha siasa? Hayo makabila yalihesabiwa mwaka gani na yalihesabiwa na nani? Hayo mambo ya kukaririshwa wengine hatuna habari nayo!!
 
Back
Top Bottom