Rudi kwenu Burundi haraka sana..eti athiri! Ni Asili.
Si ndio haya majipu tunayozungumzia mkuu. Jitu hata Kiswahili halijui eti linajiita Mtanzania.
jina lako linasakusadifu ulivyohuyu wa dio nae kwao wapi mkuu
Rudi kwenu Burundi haraka sana..eti athiri! Ni Asili.
Si ndio haya majipu tunayozungumzia mkuu. Jitu hata Kiswahili halijui eti linajiita Mtanzania.
Manji fukwe zipo nyingi sio lazima coco beach.
huyo karopoka tu hajui lolote, kama manji kahujumu ni sheria ipi inazuia asipelekwe mahakamani...
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
Allen Kilewella njoo ujibu hili Swali ....Jamal alizikwa wapi!?
We unasumbuliwa na laana ya marehemu bwana wa mama yako aliemfumania mama yako na house boy wenu kutoka kisumu... Maandazi wewe
Amir Jamal alizikwa Canada lakini Dereck Bryson alizikwa Tanzania [ majivu ya mwili wake yalitupwa bahari ya Hindi hapo nyumbani kwake Msasani]; Al Noor Kassum bado yupo hapo Msasani!!!
Mzee Noordin Kassum haishi msasani mkuu....anaishi Mikocheni.
Ni Al Noor Kassum na sio Noordin !! UKo sahihi anaishi Mikocheni!
Hebu tupe darsa kidogo ya historia ya tanzania...
Tufahamishe wahindi na waraabu walikua vp kabla ya uhuru...
Tunasubiri ya maalim
Jina lake la kuzaliwa anaitwa Noordin Kassum mkuu. Hilo Al Noor alikuja kulitumia baadae maishani mwake.
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga