LOVI MEMBE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,122
- 183
.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
uyu igwite ibyata maanake ameshiba anabeua msamehe mwenye shibe hamjui mwenye njaa. mtu ukimkaribisha sebuleni anataka aingie chumbani kosa ukimkaribisha chumbani atataka hata stahiki yako iwe YAKE. MUACHENI AENDELEE KUBEUA WATANZANIA WANGAPI HAWANA FURSA KAMA YEYE AU YEYE ANA HAKI KULIKO WENGINE?
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..