Wanasayansi na wanahisabati tu ndiyo tunajua. Faiza Foxy na wenzake ni WadandiajiHivi wewe na huyo Faiza Foxy mnajua matumizi ya Equal Sign?
Tazama ulivyo punguani, ni wapi nimemuita huyo "mjinga"?Acha kujiona mjuaji
Kama hasala=hasara basi inamaanisha aliye andika hasara ni sawa na aliye andika hasala kwa hiyo wewe hapo ndio umeonekana mjinga kuliko huyo uliyemuita mjinga.
Sasa mimi na wewe nani punguani hapa?Tazama ulivyo punguani, ni wapi nimemuita huyo "mjinga"?
Hata unachokisoma hukielewi.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Nakumbuka Hotuba ya Manji Dhidi ya Bashite.ilikua ni dharau Kuu.Naona umekariri ni Hans pope
Likiisha hili na hakika ataondoka nchini.Kwakweli akitoka kwenye hili bora arudi uarabuni maana sio kwa suluba hizi..![]()
![]()
Cc Lamar BlacAmericanEtii kwamba huyu jamaa ndo alisema kuwa haongei na mbwa bali anaongea na mwenye mbwa aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni nomaaaaaaa
Honestly, I can't imagine if all those guys in gvt who signed the deal with Manji are feeling the same pinch; whatever the mistakes he has, let's be fair to all wrongdoers, never have double standards!
Unanikumbusha kifimbo cheza....= hasara
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Huyu Malaika tayari ameshafanana na SHETANI bora tu wamsamehe

Yanga can't make it for this saga!Wanayanga wamemtupa kabisa hata Sanga na mzee Akilimali utadhani hawamjui
Sent using Jamii Forums mobile app
WanaCCM pia na wananchi wake wa kata ya mbagalaWanayanga wamemtupa kabisa hata Sanga na mzee Akilimali utadhani hawamjui
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kumbukumbu zangu huyu aliwahi kumwambia Waziri siongei na Mbwa bali Mwenye Mbwa......Kwakweli akitoka kwenye hili bora arudi uarabuni maana sio kwa suluba hizi..![]()
Shule zipi unaongelea?= hasara
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?