kaisar19
JF-Expert Member
- May 24, 2021
- 261
- 465
Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma.
Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi.
Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo hospitali kwa sasa, Nayeye pia hali yake ni tete.!!
Dereva wa lori hajulikani wapi alipo hadi sasa.