bopwe
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 1,776
- 1,464
Hata mm nime notice askari wako hoi kwa kesi kama hizi za visasiDuh! Ona askari walivyo na nyuso za majonzi.... Wakamuombee msamaha Magogoni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nime notice askari wako hoi kwa kesi kama hizi za visasiDuh! Ona askari walivyo na nyuso za majonzi.... Wakamuombee msamaha Magogoni...
asante but kufika kunikosoa naamini ujumbe uliupata na diyo kusudio langu. kama usingenielewa usingenisahihisha. asante kifimbo cheza kwa kazi yako.= hasara
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Awamu ipi mkuuAisee yaani hauamini kama huyu ndo alikuwa anaifadhili CCM.
Ukosefu wa unga mwilini ndicho kinachomtesa mkuu.Kwakweli akitoka kwenye hili bora arudi uarabuni maana sio kwa suluba hizi..![]()
![]()
na mimi sitamuunga mkono na kumuheshimu mtu yeyote anayewanyanyasa wale waliowanyanyasa wanyonge. kwani akiwamaliza matajiri atawaanza kunyanyasa wanyonge.Sitokujaga kumwonea huruma yoyote aliyehusika kuwanyanyasa wanyonge
Kwani manji ndiye mwenye ghala la kutunza sale za jeshi mkuu!!
sio huyu ni kichaaa hansi popuEtii kwamba huyu jamaa ndo alisema kuwa haongei na mbwa bali anaongea na mwenye mbwa aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni nomaaaaaaa
Naona umekariri ni Hans popeEtii kwamba huyu jamaa ndo alisema kuwa haongei na mbwa bali anaongea na mwenye mbwa aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni nomaaaaaaa
Askari wana roho za huruma sana.Duh! Ona askari walivyo na nyuso za majonzi.... Wakamuombee msamaha Magogoni...
Aisee mbwa amekuwa mwenye mbwa!!Etii kwamba huyu jamaa ndo alisema kuwa haongei na mbwa bali anaongea na mwenye mbwa aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni nomaaaaaaa
Wanyonge ni kina nani?Sitokujaga kumwonea huruma yoyote aliyehusika kuwanyanyasa wanyonge