Manji hali tete

Manji hali tete

Tazama ulivyo punguani, ni wapi nimemuita huyo "mjinga"?

Hata unachokisoma hukielewi.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Una hasira kuona muislam mwenzako anavyosulubishwa ha ha pole sana,unaogopa kujikita kwenye madawa tusikuvae,,,,anyway sikupati hizi umepoteza kale ka influence kako
duuuh wewe mwana Mama feiza sikuelewagi kama vile muda wote unastresss upo kisharishari yani mtu kukosea speling tu wewe unatusi elimu yake duu!!!.







Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanyonge walio nyanyaswa na manji ni kina nani
Hakuna msukuma mwenye roho au chuki kiwango cha phd kama hiki huyu sio msukuma. Wasukuma wakarimu watu wa kusamehe wenye kuamini na kuaminika ndoho tabhu ndo kauri yetu ila huyo sio msukuma walahi kwani hana hayo machache niliyoyasema
huwajui wahindi wewe..idd amin hakuwa mwehu,wanyanyasaji wazuri sana hao..inadaiwa ndugu alikua jeuri sana enzi za jk,dharau sana mawaziri,labda wanamuonesha thamani ya mtu mweusi
 
Ile kauli ya siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa ndio inayo mtafuna.
Kisasi hakijawahi mwacha mtu salama.

Hans Pol
 
= hasara

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hili tatizo halisababishwi na shule bali lugha mama, so hata shuleni walimu wanapambana kweli kweli, shida ni kwamba kutamka atasema R kuandika ataandika L.
Japo inakera na tatizo ni kubwa.

Hans Pol
 
Wacha tu, I'm not in favour of the crime committed but I can't believe kama aliiba ile mihuri bila ridhaa kama media zilivowasilisha kukamatwa!
Let's wait and watch the drama!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haya uliyoandika unastahili viboko..unaamin udaku half wanaokulinda wkt umelala unajamba ndio unawatuhum kwa uonevu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwajui wahindi wewe..idd amin hakuwa mwehu,wanyanyasaji wazuri sana hao..inadaiwa ndugu alikua jeuri sana enzi za jk,dharau sana mawaziri,labda wanamuonesha thamani ya mtu mweusi
roho ya wanini inaongozwa na chuki,hakuna mahali umeonyesha unyanyasaji wa huyu mtu mambo ya amin we ulishuhudia unaushuhuda kuwa amini hakuwa na roho mbaya kwa hawa watu
 
Dah inauma sana deal wampe wenyewe then wame mchenchia kama hawamfaham God is never dead he is watching on them aisee this is too much

Sent using Jamii Forums mobile app
Rafik yako akikushawish mkaibe ukikamatwa rafik yako akakimbia utamlaumu kwa kukushawish mkaibe??? wew ndio mpumbav kuliko hata aliyekushawishi..unastahili adhabu mara mbili..n be careful God does nit stand wth thieves..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa lake ni kutokuongea na mbwa bali wenye mbwa!,bila kujuwa kuwa hata mbwa anaweza kubadilika kuwa mwenye mbwa!!!!
 
Back
Top Bottom