Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,367
Mkuu, nimeona hiyo.Well,
Barua haiko signed basi ni CHAKA... Umeangalia tarehe za registration ya Kagoda na ukaangalia makubaliano ya mkopo toka Kagoda kwenda Quality Finance? Do you see my concern? Wala mi sina shida na yeye kupinga, ana haki na si vema kuchafuliwa kama anajua yeye ni msafi. Tatizo langu ni ninapoangalia hizi TAREHE mkuu wangu
Nina wasiwasi na hili game, sijui nani haswa analengwa, lakini I bet it is a calculated move.....a chase of some sort.