Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Kitu ambacho mleta habari kashindwa kukielewa ni kuwa kuna grace period ya lini uli lodge kampunimiwe incorporated na lini imekuwa incorporated. Licha ya hayo kuna intention, ambayo inaweza kuambatana na MoU kabla ya kampuni kuanzishwa. Na hapo hizo tarehe na kampuni vimekuwa leaked ili ukivipeleka mahakamani (mwanasheria mbumbu kama anaetajwa) vikugeukie.
Kwa ufupi, kampuni inaweza kuwepo hata kama haijawa incorporated.
FF huenda una hoja hapa lakini watu wanakimbilia kujibu hii hoja na kuiponda kabla hawajajiridhisha na unachokisema.