Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 758
Kitu ambacho mleta habari kashindwa kukielewa ni kuwa kuna grace period ya lini uli lodge kampunimiwe incorporated na lini imekuwa incorporated. Licha ya hayo kuna intention, ambayo inaweza kuambatana na MoU kabla ya kampuni kuanzishwa. Na hapo hizo tarehe na kampuni vimekuwa leaked ili ukivipeleka mahakamani (mwanasheria mbumbu kama anaetajwa) vikugeukie.
Kwa ufupi, kampuni inaweza kuwepo hata kama haijawa incorporated.
Kama kuna kitu kilikuwepo kabla ya tarehe ya incorporation hicho kitu hakiitwi Kadoga Agricullture Ltd, hapo umechemsha FF, kumbuka kilicho mkopesha fedha Manji ni Kagoda Agriculture Ltd ambayo ndio iliyosajiriwa tarehe baada ya mkopo.
Unless hujui maana ya incorporation.