Manji ajaribu kujisafisha Kashfa ya Kagoda; ajichongea!

To be honest ya manji na kagoda naona ni old news kwangu.

Mpya ni hili la Manji kuwaweka madiwani wake na meya wake jijini Dar na yanayojiri now....

Halafu si Manji ndie mmilikiwa wa SasaTel?

Kodi wanazolipa SasaTel zikoje? Kodi za Quality Group?

tukiendelea kujadili wizi wa 2005 wakati kuna wizi mwingine unaendelea ni busara kweli?

Si juzi jiji wamempa ufukwe wote wa Oysterbay?

Sorry Mkubwa... Wizi ni wizi tu uwe wa siku zilizopita au wa leo?? Madhara yake kwa Taifa hili ni yale yale... Mimi naamini kabisa Wizi uliofanywa miaka iliyopita bado unatugharimu hadi leo!!! Na labda utaendelea kutugharimu kwa miaka mingi ijayo!!! Mimi binafsi sioni ubaya wa kuendelea kujadili hilo. "IF YOU DON'T KNOW YOUR PAST..... YOU DON'T KNOW YOUR FUTURE..."
 
Yale yale ya kufungua akaunti siku ya mwaka mpya.kumbe huyu msemakweli ni msanii tu aliyetumwa na wasanii wenzie kuudanganya umma.

Ajaribu njia nyingine, hii imebuma-shame on you manji & your group.
 
Kwanza corrections:

iliyosajiriwa = iliyosajiliwa.
Agricullture = Agriculture

Naona hujazisoma sheria mpya za Biashara za Tanzania (na sehemu nyingi duniani). Anaekuwa liable ni yule aliye sign na si kampuni kama ilikuwa incorporated or otherwise.

Umeongea upupu mwingine juu ya upupu wako wa awali! Naona hata hujui unachoongea hapa, ndio maana unaishia kusahihisha lugha. We umesema kampuni inaweza kuwepo kabla ya incorporation! Tumekwambia kama ilikuwepo basi haikuwa Kagoda Agriculture Ltd, na hivyo Manji hasinge weza kopa fedha kwa Kagoda Agriculture Ltd maana haikuwepo! Hata kwenye mkataba kusinge onekana neno Kagoda Agriculture Ltd.

Hamna sheria yoyote unaijuwa wewe unaishi kwa kubahatisha na kuongea lolote ili mradi mkono uende kinywani. Kama anayehusika na huo mkopo ni mtu binafsi na si kagoda Agriculture Ltd basi Mkataba ulipaswa kuonyesha kuwa Quality Finance Corporation Ltd wamekopa fedha kutoka kwa huyo mtu binafsi na si kwa Kagoda Agriculture Ltd, na kwa mantiki hayo unaongea kitu kile kile ambacho Invisible amekianisha hapo juu " Iweje Quality Finance Corporation Ltd" wakopeshwe fedha na "Kagoda Agriculture Ltd" wakati haijasajiliwa?!

Nyie vibaraka wa Mafisadi tatizo lenu elimu ya kuunga unga hata hamjui mnachoongea, mwisho wake mnakimbilia vioja na viroja badala ya hoja.
 
The Companies Act 2002,
"40.-(l) A contract which purports to be made by or on behalf of acompany at a time when the company has not been formed has effect,subject to any agreement to the contrary, as one made with the personpurporting to act for the company or as agent for it, and he is personally
liable on the contract accordingly."

Mimi sio mwanasheria, lakini nimepitia hiki kifungu nikaona kama vile kilitungwa makusudi kwa ajili fulani...Kwa hiyo tarehe za huo mkopo na certificate of incorporation zimewekwa purposely ili ziwapoteze watu..,
  • Swali ni jee, huyu aliyeenda kununua madeni BOT hakuwa amepanga anakwenda kuzifanyia nini ndipo akaona amtafute Manji amkopeshe?
  • Je,walipokuwa wanapresent documents zao BOT kwa ajili ya kuomba kununua madeni hawakuwa wakitoa maelezo ya nini wanakwenda kuzifanyia hizo fedha na BoT walikubali kuirithisha hayo madeni Kampuni inayokwenda kukopesha kampuni nyingine kibiashara?..
Kuna mdau mmoja kadai Manji 'kawaweka' madiwani na Meya wa Dar, nina shaka hata hawa watungaji wa hizi rasimu za sheria nao wako katika ayroll yake manake kwa hivi vifungu vya sheria nahisi jamaa anaweza akawa ana influence kwa kiasi flani..​

Hicho kifungu kimewekwa kwa ajili ya 'promoters' wa kampuni. Kuna nyakati 'promoters' wanalazimika kuingia mikataba (kwa mfano rental ya jengo, nk) kabla kampuni haijaanzishwa (sajiliwa). Kwa kifungu hicho, huyo promoter aliyeingia huo mkataba ndio personally anakuwa liable (kwa sababu kampuni anayodai kuirepresent kimsingi inakuwa hai exist). So hapo haina maana kwamba kampuni tajwa imeingia kwenye makataba huo. Hata hivyo katika mkataba huo promoter hawezi kuweka jina la kampuni ambayo haipo (kama ilivyo kwa Kagoda na QFCL) kwa sababu mkataba utakuwa void/voidable.
 
SMU! Good, unafahamu unacho ongea.

Kuna watu humu kazi yao kuongea lolote hata kama kitu hakijui anajifanya anakijuwa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wakuu,

Yusufu Manji katoa taarifa yake kama inavyoonekana chini hapa... Huenda vyombo vya habari nyumbani vikatumia taarifa hii lakini ieleweke kuwa haijasainiwa, tarehe za usajili Kagoda, tarehe za usajili Quality Finance na tarehe za mikopo zimejichanganya mno... You need to be smart when playing such games!

Maneno hayasaidii, go thru the docs:

tamko-manji.jpg

tamko-manji2.jpg

Sasa angalia nyaraka hizi chini:

loan-agreement.jpg

loan-agreement2.jpg

kagoda-registration.jpg

Sasa ndugu yangu Manji, hivi Kagoda na loan kipi kilitangulia? Mkopo kabla ya kampuni au kampuni kabla ya mkopo?

Hapa umejichanganya mkuu wangu, mnaweza kuangalia namna ya kuiweka sawa hii?

hapa Hiyo quality finance wanaweza kushitakiwa kwa money laundering, kwani kilicho fanyika hpo ni kutaka kutakasa fedha chafu, kwa kuziingiza katiksa system na baadae kufuta nyayo za chanzo za hizo fedha. hivi kile kitengo chetu cha money laundering kipo?
 
z
To be honest ya manji na kagoda naona ni old news kwangu.

Mpya ni hili la Manji kuwaweka madiwani wake na meya wake jijini Dar na yanayojiri now....

Halafu si Manji ndie mmilikiwa wa SasaTel?

Kodi wanazolipa SasaTel zikoje? Kodi za Quality Group?

tukiendelea kujadili wizi wa 2005 wakati kuna wizi mwingine unaendelea ni busara kweli?

Si juzi jiji wamempa ufukwe wote wa Oysterbay?
Kuendelea nako kuvumbua uwizi mpya wakati ule wa zamani haujashughulikiwa nalo ni tatozo. Hivyo sioni hoja yoyote ya msingi hapo.
 
Je hizo pesa ziliingizwa lini kwenye account ya kagoda? na account ilifunguliwa lini? je waliwezaje kufungua account bila vielelezo vya kampuni?
 
hapa Hiyo quality finance wanaweza kushitakiwa kwa money laundering, kwani kilicho fanyika hpo ni kutaka kutakasa fedha chafu, kwa kuziingiza katiksa system na baadae kufuta nyayo za chanzo za hizo fedha. hivi kile kitengo chetu cha money laundering kipo?
Hiki kitengo kipo lakini kumbuka lazima kiwe chini ya mtu aliyeteuliwa na Kikwete kwa maslahi ya Kikwete ,maswahiba wake na/au Chama
 
Wakuu,

...You need to be smart when playing such games! [...] Sasa ndugu yangu Manji, hivi Kagoda na loan kipi kilitangulia? Mkopo kabla ya kampuni au kampuni kabla ya mkopo?

Hapa umejichanganya mkuu wangu, mnaweza kuangalia namna ya kuiweka sawa hii?

Hicho kifungu kimewekwa kwa ajili ya 'promoters' wa kampuni. Kuna nyakati 'promoters' wanalazimika kuingia mikataba (kwa mfano rental ya jengo, nk) kabla kampuni haijaanzishwa (sajiliwa). Kwa kifungu hicho, huyo promoter aliyeingia huo mkataba ndio personally anakuwa liable (kwa sababu kampuni anayodai kuirepresent kimsingi inakuwa hai exist). So hapo haina maana kwamba kampuni tajwa imeingia kwenye makataba huo. Hata hivyo katika mkataba huo promoter hawezi kuweka jina la kampuni ambayo haipo (kama ilivyo kwa Kagoda na QFCL) kwa sababu mkataba utakuwa void/voidable.

Hapa swali gumu ambalo naliona hapa ni kuwa inaonekana BoT walikopesha fedha Kampuni hewa hiyo ya Kagoda Agriculture Ltd, yamkini walipata mkopo kabla ya usajili. Maadamu waliamishia fedha zao kama mkopo kwa QFC(ltd) kabla ya kusajiliwa basi walizipata kabla ya kusajiliwa.

Labda ndio maana CCM iliamua kumpoteza Balali! Ila bado Manji ana kesi ya kujibu na hao wenzake pia hata BoT waliotoa fedha wanatakiwa kukamatwa wahusika wote, hata kama Balali hayupo lakini wasaidizi wake wote waliopitisha fedha wakamatwe, nadhani hata Mkapa anapwa kukamatwa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
halafu Manjiii na akili zake zote za biashara anataka kutuaminisha kampuni ambayo haina historia yoyote na hao wakurugenzi wake? wanaweza kumkopesha fedha nyingi hizo? kama sio fedha za wizi? " rejea sheria ya buyer be aware" na hiyo kampuni kagoda sio kampuni ya kukopesha, walau ingekuwa kagoda kamkopesha manjii mahindi basi angala tungesema madhumuni na biashara yenyewe vinashabihiana. na je wao manjjiii walitoa dhamana gani? na zilisajiliwa kisheria kama dhamana! maana hela zinazo ongelewa hapa si mchezo!
 
hapa Hiyo quality finance wanaweza kushitakiwa kwa money laundering, kwani kilicho fanyika hpo ni kutaka kutakasa fedha chafu, kwa kuziingiza katiksa system na baadae kufuta nyayo za chanzo za hizo fedha. hivi kile kitengo chetu cha money laundering kipo?

Hiki kitengo kipo lakini kumbuka lazima kiwe chini ya mtu aliyeteuliwa na Kikwete kwa maslahi ya Kikwete ,maswahiba wake na/au Chama

Kama hawajabadilisha nadhani kipo chini ya wizara ya fedha! Toka mwanzo sijui kwanini hawaku wafungulia Manji na wenzake kesi chini ya hii sheria?

Lakini Wakuu mi nachanganyikiwa hapa; Mi nilijuwa kuwa Manji na wenzake hawakushtakiwa kwa sababu Rais alitoa sharti tokea mwanzo kuwa wanarudisha fedha hawata shtakiwa! na hivyo Manji na kagoda waliangukia katika msamaa huo, si kuwa hawakushtakiwa kwa sababu hawakumjuwa mwenyewe Kagoda! au mimi ndio nachanganya?

Hii kauli ya Kikwete tunaiweka wapi? Maana aliitoa mchana kweupe mbele ya Watanzania! au ndio Kigeugeu?
 
hyo document ya kwanza anakubali kua QF ilipokea hela kutka kagoda,
so kagoda kweli ilikwapua hizo hela.
sasaje, manji atajitenga vipi na kagoda??
 
na inasemekana huyu jamaa anataka kuingia tena kwenye ufukwe wa coco beach, manispaa ya kinondoni wanataka kumpoka yule mwafrika na kumpa manji, kwa madai ya kuwa huyu mtu mweusi alipi kodi ikiwa analipa. sasa wanataka fukwe zote zimilikiwe na mashombishombi!
 
1.tika taarifa yake kwa vyombo vya habari, kipengele cha 5 na 6 anamlenga mtu badala ya kuonesha kua yanayosemwa sio kweli.
2. taarifa hyo pia anakiri kurudisha fedha serikalini. swali;kwa nini arudishe serikalini wakati alikopeshwa na kagoda??
3. hyo document ya kwanza anakubali kua QF ilipokea hela kutka kagoda, so kagoda kweli ikwapua hizo hela.
saje, manji atajitenga vipi na kagoda??
4.Nadai kua alikopeshwa na kagoda siku ya tarehe 12-9-2005, lakini huku chini baadae anaonesha kagoda ilisajiliwa 29-9-2005, huu ni utata mtupu.
 
The only reason these fools are still playing with the system, is because the president is behind all this..I mean Msemakweli has more evidence than Osman Rashid and his people?...DPP?. The president has placed incompetent and corrupt people everywhere to cover his back... Ngelejas, Shimbos, Osmans, Mkullos, Simbas, Jairos, Maiges, Nchimbis etc
 
Lousy docs lakini jamaa ndo wamepigia bilioni 30 duh! Bongo kweli "tambalaleee" Nchi kama vile haina wenyewe.
 
The only reason these fools are still playing with the system, is because the president is behind all this..I mean Msemakweli has more evidence than Osman Rashid and his people?...DPP?. The president has placed incompetent and corrupt people everywhere to cover his back... Ngelejas, Shimbos, Osmans, Mkullos, Simbas, Jairos, Maiges, Nchimbis etc

Kama msemakweli as an individual anaweza ku-collect concrete evidence za wizi mkubwa kiasi hicho, sasa sijui kina Hosea, UWT na wengineo kazi yao ni nini? Kuna uwajibikaji kweli?
 
Back
Top Bottom