Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

Hiyo stendi iko wapi? Huu Uzi bila picha ni batili mangi.
 
Dereva bajaji moshi akitulia, mwisho wa mwezi ana mshahara wa daktari.
Mmm! Mbona mshahara wa dkt. anayeanza ni 1.5m. Bajaji akitulia kama ulivyo dokeza hapa; anauwezo wa kukusanya 60-70 elfu kwa siku. Kwa mantiki hiyo kwa mwezi wenye siku 30 ataweza kukusanya 1.8 -2.1m. Changamoto ya Bajaji ni "From hand to mouth activity".
 
Ugumu wa kuuza maeneo ndo shida. Hatuna tofauti na Mbulu mjini. We had opportunities around 2010. We lost it and it will never come back.
We need new bloods from different areas to stimulate bussiness and production. We cant rely on December for this issues.
 
Moshi nipakwenda tuu likizo utalii ukiwa low season hata mzunguko unakuwa mgumu sana % kubwa ya vijana shughuli zao ni utalii lakini pia pasingekuwa na kcmc,mwecau na mocu nadhani hali ingekuwa mbaya zaidi
 
Mbulu ni ya kijinga mno bwashee 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…