habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
mleta mada acha unafiki
Yaani baada tu ya Mange jana kuchoma kadi yake, kuna maelfu wamerejesha imani kwa chama hicho. Kwa sabahu Mange alikuwa anadhalilisha sana chama chetu hasa kutokana na tabia yake ya kuishi kwa kujiuza huku wakati mwingine amevalia nguo za CCM
uyu mwanamke ukimfuatilia kwa karibu utagundua kwamba anatumika na isitosha hana kaz..hayo magazet anayochapisha bila wahariri na sponsors huo muda bora angeutumia kulea wanae....sioni influence yake in anyways kw amtu anaejielewa....uzuri wa mange kimambi huwa hakwepeshi , nyeusi ni nyeusi hawezi kuiita nyekundu .
Ulikuwa chama gani gani mwanzo mkuu?hongera kwa kulirejea kundi lako la awali kama uliwahi kuliacha lakin na si vinginevyoNi wazi ataondoka na wavamizi wenzake waliokuwa wanakipaka matope chama.CCM inarudi ktk misingi yake ya ustaarabu na heshima.Ni imani yangu Polepole na sekretari yote hamtatuangusha ktk kukisafisha chama na kukirejeshea heshima yake iliyopotezwa na watu jamii ya kina Mange!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaani baada tu ya Mange jana kuchoma kadi yake, kuna maelfu wamerejesha imani kwa chama hicho. Kwa sabahu Mange alikuwa anadhalilisha sana chama chetu hasa kutokana na tabia yake ya kuishi kwa kujiuza huku wakati mwingine amevalia nguo za CCM
Nikweli, kadi zao, walinunua kwa hela yao,,,sasa hata wakichoma kuna makosa gani,,,,,..nyinyi watu waoga sana.
..wakichoma kadi si hasara yao wenyewe.
..ukumbuke kuwa hizo kadi walilipia hawakupewa nure
ukitumia wanywa viroba kupiga kampeni jua umekwisha. pili kama unamhofia huyo mama kiasi hicho basi unamatatizo makubwaSwala sio kupiga kura bali Kupiga Kampeni.Kupiga Kampeni kuna athari kubwa sana maana unaweza kuvutia wapigakura kwa Maelfu,Malaki hata Mamilioni.Kadi ni mali ya mmiliki yaani aliyeinunua na ana uwezo wa kuifanya anavyotaka kama kuichoma,kuitupa,kuitunza kama kumbukumbu,kuirudisha,kuichana nk.
Huyu dada alifanya kampeni kubwa sana kukisaidia Chama kwa kumponda Lowasa waaziwazi na kupata wafuasi wengi.
Wasiwasi wangu ni kwamba anaweza kufanya kampeni ya kukiponda chama chake cha awali alichoamua kuchoma mpaka Kadi anayoimiliki.
Hahahahahahaha...Alete Operation GAWA PENZI nitampokea.Kwani pindi anaichukua alinishirikisha?