D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,055
Manchester City had more shots (27) than Manchester United had possession in the game (26%)
Safi sana pigaaa Hawa man uuuu
Kaka tuache😅😅Naunga mkono hoja 🤣🤣😂🤣😁
Hii timu kisaikolojia haipo sawa usipowapa moyo hivi wangeokota nyavuni hata bao kumiErik ten Hag: “The players gave everything. The performance was very good. It was very small margins.” #MUFC [Sky
Kwa wachezaji gani sasa maana nakumbuka msimu kabla haujaanza waliwekwa sokoni wachezaji sita na hakuna hata mmoja alieuzika na ndio hao unawaona daily kikosiniTafuteni KOCHA ndugu zangu
😂😂😂😂Huyu kocha anyongwe sio kawaida
Hebu muacheni jasusi wa watu, mnataka akale wapi?😂
Hapo mngeshinda na hiyo hiyo possession ya 26% mngemsifia kocha.Manchester City had more shots (27) than Manchester United had possession in the game (26%)
Daah,basi cha ku-comment tena[emoji28]Moderators unganisheni Uzi huu na ule wa kula tunda kimasihara
Bora ushangilie hata wale watoto wa LUTON 😁😁 kidgo utapata tabasamu Kwa ball laoNatangaza Leo kuwa ni ujinga mtu na akili zako kuwa Nyumbu..