Kazi kung'ata ng'ata vidole tu kama ana mtindio wa ubongo 🚮Antony tumepigwa pakubwa ni takataka
Sawa sawa wanangu wa msituni, huyu shetani ni lazima tumpe doziWanangu wa Forest tupo pamoja, twende kazi kumrudisha huyu shetani mwekundu jehanamu
Nyie kila mechi kwenu ni big match, hamna mechi nyepesi!




Daah humu ndani majungu makali sanaaaYani Afadhali charlson kidogoo anajitahdi sio hili takatakaaaa..Antony tumepigwa pakubwa ni takataka
Mnaliwa kimasikhara 😂😂Yani Afadhali charlson kidogoo anajitahdi sio hili takatakaaaa..
Mnaliwa kimasikhara 😂😂Yani Afadhali charlson kidogoo anajitahdi sio hili takatakaaaa..