Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 629
Kwanza Hawa mafisi wanaotuita nyumbu. Sawa hatukatai maama sisi ni dunia nzima.Sasa mbona tumeshika nafasi ya 3 mzee ?
Kama tungekua tumeshika nafasi ya 4 hoja yako ya Brighton ingekua na mashiko.
NB: Maana yangu ni kwamba kwa kuwa tulishika nafasi ya 3, zilihitajika timu mbili kutuondoa kwenye top 4, badala ya hiyo moja uliyoitaja.
Kama yeye huyo Brighton kweli angekua good enough na kushika nafasi ya 3, basi sisi tungeshika nafasi ya 4 (still in top four) maana tulimzidi Newcastle points (tungemsogeza namba 5).
Vinginevyo njoo utaje wazembe wengine wote waliosababisha sisi tumalize ndani ya nne bora.
Hadi utakapofanya hivyo, acha kumuonea (kumbebesha zigo) Brighton.
Maana yangu nikwamba sisi nyumbu tupo kibao, fisi wanahangaika na maisha wanatuandama Kila kitu wanahusika wanatusaidia ktk biashara.
Sisi tulihitaji kuwaondoa majinga hapa Old Trafford na tungeshindania ubinngwa.