Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,041
- 33,690
Issue ilikuwa management embu tuone Sir Jim atafikia wap na yeyeKaka ETH ananiangusha mpaka nakosa nguvu za kuweka habari za chama kubwa maana Hashtag ninayomwekeaga #ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨ππππ³π±βοΈ haiendani na anachokionyesha uwanjani ila mimi nipo sana tu.
Jikaze hivyo hivyo binafsi ningekuwa na uwezo wa kuhama team ningehama muda
Naona kama kuhama kuna uhusiano na usaliti....