Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ten Hag on Kobbie Mainoo: "When you're good enough, you're old enough. And Kobbie proves that".

"He has some calmness and composure. His biggest qualities is his scanning but he is good physically. He is young, will adjust to the game".
Huyu dogo mtunzeni ana potential sana
 
usiku wa jana wale wahuni wa el cholo wamelala na viatu,
1703042291782.png
 
usiku wa jana wale wahuni wa el cholo wamelala na viatu,
View attachment 2847664
Juzi ulimzungumzia DIEGO RICO, LB wa Getafe. Kila ukiangalia Game za Hawa jamaa Umwone MASON unakutana na Jamaa anatoa Mechi kweli kweli!
Nawazaga sana alishindwaje EPL, Jamaa msimu huu amekuwa mmoja kama sio Best LB kwenye La Liga.

Moja ya Maamuzi naweza sapoti Utawala unaokuja ni kama watafanya juu chini Huyu Dogo acheze tena UTD, Hii ni Sajili Mpya ya thamani ya zaidi ya 100m. Ni moja ya Maana halisi ya Generational. Blanc kazoea Kashfa akiweza isafisha ya Huyu Bwana atakuwa ameokoa Pesa Mingi sana za UTD
 
Mkuu unaandikia left brain maana sikuelewi, pointi unayo ila kuikamata ndio kazi
 
EXCLUSIVE

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester united Eric Ten Hag ameuambia uongozi wa juu katika klabu hiyo kuwa mchezaji Sofyan Amrabat haendani na falsafa Zake, Amrabat yupo kwa mkopo klabuni hapo akitokea klabu ya ACF Fiorentina.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi niliopenda aina ya uchezaji wa pogba huyu mkaka kama sio bangi angekuwa na heshma, kwa sasa haheshimiki kabsa.

Ni kama amepotea ila kama kuna mwl angeweza kumu hundle huyu kiungo anajua mpira.....

pogba anajua mpira, tena kwenye assist this guy is incredible, kama houjlund angecheza na pogba angepiga bao nyingi tu. Natarajia mainoo kufanya kazi aliyoiacha pogba
 
Ni Nani aliyependekeza amrabat aje hapo?
 
Back
Top Bottom