Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aisee kwa maisha nayoishi humu siwezi kuwa Banned ndugu yangu, ni matatizo tu ya forum maana sio Mimi tu ambae nipitia hii kasheshe

Kuna wengine Hadi wameamua kuachana kabisa na jamii forum na wame uninstall app, maana ni Ujinga kulazimisha likitu haliongei

Na kuhusu Ku log out niingie kama tax bubu nishajaribu ila wapiView attachment 2853687
 
Screenshot_20231226_201431.JPG

Man utd anajifia zake goli 2-1
 
Manchester United ameshinda michezo 96 adhidi ya ston Villa FC tangu mwaka1892 na Aston vila wameshinda michezo 48 w

Je Manchester United tutaendeleza ushindi

Dakika 90 ziataongea
 
Bado narudia unadanganya Tena Sana

Emery amefanya kazi na huyo huyo Edu na hawakuendana ,nimekupa takwimu unasema za magazeti


Majukumu ya Edu yalikuwa hayo hayo aliyofanya na Emery


Kwanza kubali umedanganya Emery hakuwasajili Saliba, Martinelli,hata Pepe


Nimekupa Hadi aliowasajili Ni Fransis Cagigao



Unasema Øde hapati namba Madrid hii ?

Unatumia ubongo kweli ?


Ødegaard alishakuwa flop Madrid ndio maana aliuzwa €30m kwasasa Hana tjaman hiyo ,nimekuwekea na Value ya transfermarket ,

Kwenye wachezaji 20 most valuable duniani Øde humkosi ,10 most valuable EPL humkosi

Midfield hii ya Madrid wanacheza Hadi kina Ceballos , thaman ya Øde sokon Ni €100m

Unadhani kwa kiwango alicho nacho Sasa Madrid wangekuuzia €30m?[emoji1787][emoji1787]


Emery ndiye kocha wa ovyo kupita Arsenal


Emery anabaki kocha wa timu ndogo tu Kama alivyo Erik 7 hag


Arteta ndiye kamfanya saka kuwa moja ya RW Bora duniani , Martinelli moja ya LW Bora duniani

Ødegaard moja ya AM Bora duniani

Hata Declan Rice unayemuona anakiri game yake imekuwa developed under Arteta

William Saliba , Magalhaes,


Au unadhani hao wachezaji wa Arsenal wamekuja wakiwa vzr ,80% wamekuja wakawaida tu na wao wanakiri hivo ukitaka ushahidi nakupa


Emery Ni kocha wa timu ndogo, wachezaji wa PSG walimkataa , Wachezaji wa Arsenal akiwepo Ozil alisema kabisa EMERY sio kocha


Unasema mafanikio yake Ni kweli sababu hata kiumri Ni Rika la kina Pep ,klopp na ETH


EMERY kamfunga Pep kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka 15



View attachment 2851845
Unai alikua anatupoteza yule, hana first eleven inayoeleweka
Mpira hauna identify yoyote
Tulikua tuna struggle na timu Kama Watford

7hag na unai tofauti yao mmoja kanyoa para mwingine kafuga nywele
 
Back
Top Bottom