2-0Nyie subirini tu muda wenu ufike mkandwe na livaphumbu.
Msiba inabidi usafirishwe, ila Kauli za wanandugu wanasema ata mkizika huko huko haina shidaWestham vs nyumbu
Nyumbu Leo mnaingia uwanjani Kama underdog, ukibisha kaangalie betting wameweka vipi odd
Wachezaji hawamtaki kocha.Huyu kocha hamna kitu.
Anang'ang'ana na wachezaji wajinga.
.bora angekuwa anafungwa akiwa na kikosi B.
.kikosi A wote wavivu.
Hao walio sub woteee wanatakiwa wasiwepo Manchester![]()