Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,608
- 2,441
Huyu jamaa anatokea taifa gani?Willy kambwala
Huyu jamaa anatokea taifa gani?Willy kambwala
Nyie subirini tu muda wenu ufike mkandwe na livaphumbu.Westham vs nyumbu
Nyumbu Leo mnaingia uwanjani Kama underdog, ukibisha kaangalie betting wameweka vipi odd
Inaupiga mwingi sanaKwa mnao angalia game vipi timu inacheza vizuri au butua butua?
Wananichania sana mikeka yangu Hawa jamaa🤨🤨🤨... Allypipi ananiponza mi nikiona katabiri najua kwli naweka...pambafu sana hawaSiku hizi mnagongwa kimya kimya!
Huyu kocha hamna kitu.ILA MAN U NA TEN HAG DAAH
Imetumwa kutoka kwa SM-A047F yangu kwa kutumia programu ya simu ya JamiiForums