Halafu huyu Man Utd wakifanya mchezo na the Chosen One ataifanya Old Trafford kuwa sehemu ya makumbusho.
Old Trafford may end up becoming an historical place to visit.
hajui kama mbinu,mfumo aina ya wachezaji na kutopangwa mara kwa mara vyote vinamuangusha kutofika kwenye peak yake.
Shukran Man U mmesadia kupunguza kelele za wadau Chelsick.
This loss was a conspiracy to have the cup remain in MANCHESTER!!!!!!!
Nacheka kwa uchungu.
Mashabiki wa Liverpool na Chelsea jana wote walikuwa upande wa Man U.
its just a matter of time tutakaa sawa tu.worry out oppponentna historia zinakuja..
Frankly inasikitisha sana...kuwa shabiki wa United kwa kipindi hiki. YNWA!!!
Rising is no simple task...siunaona sisi tulivyohangaika ku rise...YNWA!we will rise again
miaka 9 bila kombe lolote ,,mnatsha kumfunga spurs 2Watu bwana,
Narudia tena- yabidi (hata kama hamtaki) kuyatambua mambo makali ya Arsenal- ni kuwa inatisha! Je mueleweshwe hadi lini ninyi watu muweze kutambua?
ndugu yangu unaangalia mpira kweli?? mata mara zoye huwa anapangwa pembeni lakini hamna hata siku moja mbayo anacheza pembeni huko unakomzungumzia hata mechi ya jana yenyewe alipangwa pembeni baadae akaswitch position na cleverley na mara zote huwa anaswitch position na mtu mwingine akipangwa pembeni,Hana lolote toka aje Man Utd kafunga na kutoa Assist ngapi? Mpira wa Man Utd umemshinda tu kashindwa kabisa kucheza visingizio vya kupangwa pembeni havina mashiko mbona Mata anapangwa pembeni na anaonesha uhai kwenye timu?
Tupo kwenye kpindi cha mpito tuvumilie jamani.
kama unafuatilia soka vizuri kila mtu anajua kwamba tupo katika kipindi cha mpito na tulitegemea kushuka perfomance na matokeo but sio katika extent hii msimu mmoja kupoteza mechi kumi tena mechi sita ndani ya old trafford.
Its unimaginable
Moyes anasema kamtoa cleverley kwa sababu alikuwamajeruhi ila to be honest sidhani kama aliumia nahisi ni kwa sababu alikuwa mbovu sasa hii nidhamu ya uoga ya kutaka kuwaplease wachezaji ya kazi gani kwanini usiwe na msimao kwenye maamuzi unayoyafanya ???