Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba alisema mashabiki wa United hawajui mpira.

Kwamba pamoja na timu kutokua na muelekeo hata baada ya pesa yote aliyotumia bado mna imani naye
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yangu allypipi mpaka dakika hii sijaona prediction yoyote.
Leo vipi Man Utd inacheza na dunia iko na furaha kama kawaida au bado dunia iko na majonzi na simanzi kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na wazayuni huko Gaza?
 
Nyie genge la wahuni la 7Hag
Kumbe mna mechi na sisi jumapili[emoji23]
Chagueni mapema idadi ya mabao, tuyafanyie mazoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka hawa manyumbu goal difference yao isome -10, ila siyo lazima mfanye hiyo kazi nyie peke yenu. Wapige 1-0 halafu waachie wengine 6 wa mechi zijazo nao waje wapige moja moja.
 
Mimi nataka hawa manyumbu goal difference yao isome -10, ila siyo lazima mfanye hiyo kazi nyie peke yenu. Wapige 1-0 halafu waachie wengine 6 wa mechi zijazo nao waje wapige moja moja.
Tufaifanya wenyewe hii kazi

Kuwafunga goli moja pekeyake hawa nyumbu ni jambo lisilowezekana.
Mengine tunayapeleka wapi?
Kila strika pale mbele ana magoli yake mawili na kuendelea.
 
Tufaifanya wenyewe hii kazi

Kuwafunga goli moja pekeyake hawa nyumbu ni jambo lisilowezekana.
Mengine tunayapeleka wapi?
Kila strika pale mbele ana magoli yake mawili na kuendelea.
kwa hiyo unaona hii ndiyo chance ya Nunez naye kujipatia vigoli? Mwambie yeye kazi yake ni kulengesha mpira golini tu. Mengine Onana atayaendeleza. Ila basi afunge Nunez peke yake goli moja. Hao wengine wawafunge kina City na Newcastle goli moja moja pia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] amrabat huyu aliyekimbizwa na Sospeter Bajana hapo Kwa mkapa?
😂😂😂 hawa wana walikuwa wana matarajio makubwa kupitiliza
bahati mbaya 10hag naye akawa na malengo yake yakitapeli
 
Tufaifanya wenyewe hii kazi

Kuwafunga goli moja pekeyake hawa nyumbu ni jambo lisilowezekana.
Mengine tunayapeleka wapi?
Kila strika pale mbele ana magoli yake mawili na kuendelea.
watakufa kwa presha msimu huu,mashabiki wa unyumbuni
ukiwakuta mtaani wanatia huruma kinoma,hawana raha,
wakiingia mtandaoni ndo balaa
 
kikosi Cha bwenyenye glazer ichi hapa barobaro boys tunawaleta Tena leo watachapwa sana wale.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]

My prediction

Manchester United 3 vs Bayern Munich 1

GGMU [emoji3590]

ni raha tupu wakubwa [emoji16]
 
Mo Salah ana magoli yake matatu hapo
Bado Gakpo
Bado Trent
Bado Szoboszlai
Bado Diaz

Akiyanani kile kipara kinaenda kukamilishwa rasmi 10Hag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…