D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Tuwakodi bayer leverkusen japo kwa dakika 90.
Hii mechi watatushindia
Hii mechi watatushindia
😂 😂Hadithi ya kipara na mwanawe mctominay sijui itaisha lini.
Kipara ni CONTE asiye na nywele.
Ile siku mwarabu aliponyimwa timu ndio ilikuwa siku yangu ya mwisho kuangalia mechi za hii timu.Tuwakodi bayer leverkusen japo kwa dakika 90.
Hii mechi watatushindia
Ebwana weehh!!!🤣🤣🤣 kumbuka conte naye alikuwa anavaa kiwigi, toupee. Hivyo wote ni vipara sema mmoja ananyoa nywele za pembeni ili awe kipara fully na mwingine anatupia tu ki toupee kwa juu.
Wanakaza sana Wanao wachezaji wengi benchi tofauti na Madrid lakini wanakamia sanaHawa wajerumani sijui wana tamaa ya hela. Kuna €2.8m kwa kila group game ukishinda. Plus wanataka kuload win rate yao ili wazidi kuonekana kuwa stats za kushinda ziko juu kwa ajili ya data za kuwapa wafadhili wapya na kuwapa nguvu katika mazungumzo ya dili mpya.
YeaEbwana weehh!!!
Kumbe wote wana vipara
Score 808Link ya Kustream Hii Game?