Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Official: #MUFC’s 2023/24 second kit

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2697628View attachment 2697629
IMG_20230724_121018_968.jpg
 
2023/24 Away Kit

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2697633View attachment 2697634View attachment 2697635
IMG_20230724_121022_611.jpg
View attachment 2697636
 
Namkubali sana Kane (complete striker) lakini Β£100m+ kwa mchezaji wa miaka 30 siyo usajili mzuri.

Kane anataka Β£30m kwa mwaka kama mshahara. Ukichukua pesa yake ya usajili na mshahara kwa mkataba wa miaka 3 anaweza kutugharimu Β£200m.

Kwasasa Hojlund anatufaa zaidi, usajili wake utaruhusu kusajili mchezaji mwingine.
Leteni Kane Bwana izo hela hatutoi sisi Kane ni complete striker uhakika wa magoal upo wengine ni kamali tu
 
Ten Hag hataki mtu atayekuwa analipwa mshahara mkubwa kupitiliza zaidi ya wenzie ktk dressing room yake. Tayari amepitisha sheria yake internally sasa hivi salary cap ceilling ni Pound 350k/weekly plus bonuses.

Harry ni bonge la stricker ila tukimsajiri ataathiri progression ya timu kwa kiasi kikubwa sana in-longrun, kipindi hiki kifupi tutapata mafanikio ya haraka haraka ila ukiwa na mchezaji ambaye pekee yake ndani ya mwaka mmoja gharama yake ni zaidi ya Pound 60M (salary plus transfer fee) sio busara na ni matumizi mabovu ya pesa.

Rasmus Hojlund mshahara aliokubaliana na sisi ni Pound 75k/weely au euro 86k/weekly ambayo kwa wastani ni chini ya euro 5M annually plus transfer fee kama Atalanta watachukua euro 70M japokuwa ni nyingi sana pia. Maana yake huyu dogo atatugharimu euro 95M ndani ya miaka 5 ya mkataba wake. Hii ni sawa gharama yak kuwa na Harry kwa mwaka mmoja tu.

Kwa tafsiri nyepesi Rasmus ataendelea kutua option ya kuongeza mchezaji mwingine wa ziada hata kwa siku zijazo maana yake ktk idara ya washambualiaji yeye gharama yake iko chini sana ukilinganisha na viwango vya mishahara vya elite clubs. Sawa sawa na Onana vs Degea (100k vs 375k). Ed Woodward yule mjinga aliharibu sana timu madudu yake yataisha labda kuanzia 2025. Wachezaji wengi sana United walipewa mikataba ya gharama sana ambayo sio rahisi sana kuwa-offload incase waki-flop. Sasa hivi naona smart moves zimeanza kufanyika.
 
Umeelezea vizuri kabisa na Kane akija baada ya miaka 3 tutaanza kuhangaika kutafuta striker mwingine na tukimuuza hatutapata faida zaidi ya hasara.

Ingekuwa timu yetu imekamilika kila eneo usajili wa Kane ingekuwa ongezeko muhimu kwetu kushindania makombe. Ila kiuhalisia hata Kane akija bado hatuna timu imara kushindania makombe makubwa.

Ni vizuri tukatumia hiyo pesa kumpata Hojlund na Amrabat ikiwezekana na CB kupitia pesa za mauzo ya wachezaji.
 
Official: #MUFC’s 2023/24 second kit

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2697628View attachment 2697629View attachment 2697630
Uzi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Leteni Kane Bwana izo hela hatutoi sisi Kane ni complete striker uhakika wa magoal upo wengine ni kamali tu
Ni kweli pesa hatutoi sisi ila Β£100m+ ikitumika vizuri inaweza kuimarisha maeneo mawili: striker na defensive midfielder.

Timu yetu ingekuwa kama Man City usajili wa Kane ungekuwa na mantiki zaidi. Kwetu bado tuna mapungufu mengi ili kuwa timu bora.

Kane naona ni short-term plan zaidi na ktk hiyo miaka anayoweza kucheza United tunaweza tusibebe kombe lolote la maana. Β£200m kwa mchezaji wa miaka 30 ktk miaka 3 siyo uwekezaji mzuri wakati kuna cheap options.
 
Leteni Kane Bwana izo hela hatutoi sisi Kane ni complete striker uhakika wa magoal upo wengine ni kamali tu
Hahahaa ni kweli ila timu zote zina-operate chini ya limit budget. Ukimleta Kane transfer fee yake si chini ya Pound 100M plus mshahara wake ndani ya miaka minne itakuwa zaidi Pound 100M pia yaani juu ya Pound 25M. Ndani ya miaka minne atatugharimu zaidi Pound 50M, huoni kama atatu-limit kuongeza wachezaji wengine kikosi?

Moja ssb kubwa sana inayotufanya tu-struggle sasa hivi sokoni tukiwa na budget ndogo sana ni matumizi mabovu ya pesa sokoni. Amonitization ya United ni kubwa mno, ada ya uhamisho pamoja na mishahara ndani ya miaka 10 vilipanda sana kuliko uhalisia chini ya mtendaji mbovu sana Ed Woodward. Sasa hivi timu inajaribu kurudisha mishahara chini plus thamani ya mikataba. Ndio maana utaona sajiri mpya Mount (250k/w), Onana (100k/w) plus Hojlund agreed salary 75k/w. Hawa wote kwa viwango mishahara ya United ni mabadiliko makubwa sana.
 
allypipi Leo hii idara ya golikipa tunaweza kuongeza mtu yeyote muda wowote ule incase Onana akiumia au asipofanya vizuri kwa ssb sasa hivi hatuna mshahara wa ajabu (100k/w). Kabla tulikuwa limited na mshahara wa mchezaji mmoja kwa zaidi ya miaka minne (375k/w).
 
Artist Liam Fray with the new away shirt at a festival last night

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2697325

Kelelw nyingi mwisho wa sku kombe tunamuachia kipara .
 
Umeelezea vizuri kabisa na Kane akija baada ya miaka 3 tutaanza kuhangaika kutafuta striker mwingine na tukimuuza hatutapata faida zaidi ya hasara.

Ingekuwa timu yetu imekamilika kila eneo usajili wa Kane ingekuwa ongezeko muhimu kwetu kushindania makombe. Ila kiuhalisia hata Kane akija bado hatuna timu imara kushindania makombe makubwa.

Ni vizuri tukatumia hiyo pesa kumpata Hojlund na Amrabat ikiwezekana na CB kupitia pesa za mauzo ya wachezaji.
Exactly Jombaa, Timu yetu bado ina mapungufu mengi sana. Sioni haja ya kutafuta sifa ya muda mfupi wakati tuna chance ya kurekebisha makosa.

Ten Hag ni moja ya makocha wenye akili nyingi sana ktk kujenga timu. Ukiangalia vizuri kikosi chetu utagundua amechanganya damu wazoefu na damu changa kuna uwiano unaofanana maana yake kuna transition anaifanya taratibu.
 
Kwa kikosi hiki cha mwaka huu sioni tukishinda kombe lolote lile.

Labda kwa zali ila timu bado sanaaa
In short, as for now hatuna team ya ku compete kuchukua makombe, this season is done n dusted hata kabla ya kuanza, let's try may be in five or six years to come endapo kama Uongozi utakua na maono kama ya baadhi ya mashabiki wa humu wanao amini kwa team yenye kariba ya utd haiwezi kufanya revamp ya kikosi kwa msimu mmoja
 
Huyu asingeweza kutoboa, United ni timu yenye pressure kubwa sana pia sisi mashabiki wa hii timu we're very demanding (the bar is high). Ukiona kinda katoboa na hii timu ujue anajua mpira sana.

Tokea nimeanza kuipenda United mwaka 1999 wachezaji niliowashuhudia walikuja wakiwa wadogo na wakatoboa ni wawili tu Wayne Rooney (Wazza) na Cristiano Ronaldo na sasa angalau Marcus Rashford japo bado.
 
Huenda Elanga atatake off pale Notingham Forests halafu kuna usajili wetu mmoja utaflop.

Kwajinsi Man United ilivyojaliwa kuwa na mashabiki wasahaulifu tutaanza kumtaka Elanga tena na kumtukana kocha bila kukumbukua tumewahi kumrushia kila aina ya matusi huyu kijana.
 
Yaani tunamtoa halafu tumtamani. Ni kama unaacha kwenda nae chumbani ukamtie eti unaanza kimchungulia
 
Back
Top Bottom