raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,802
- 36,726
Jamaa akiwa bench anakuwa ana sura ya tabasam akiingia tu uwanjan anaanza kukunja sura 😀Ifike wakati mtu kama martial avunjiwe tu mkataba hata kibabe sasa.
Jamaa akiwa bench anakuwa ana sura ya tabasam akiingia tu uwanjan anaanza kukunja sura 😀Ifike wakati mtu kama martial avunjiwe tu mkataba hata kibabe sasa.
Ifike wakati mtu kama martial avunjiwe tu mkataba hata kibabe sasa.
Jamani jamani....yashakuwa hayo Tena!?Huyu kocha ni mkuda, Masho wa nini tena?
Nafsi na akili yake havipo uwanjani kabisa. Huyu bwana auzwe, ameshakuwa un productive
Tupeni taarifa jamni wengine tupo mbali na TV...vp wametwangwa ngapi 🤠🤠ðŸ¤[emoji1787][emoji1787][emoji1787] NYUMBU ni NYUMBU tu MAKENGE ninyi
3 kwa 0T
Tupeni taarifa jamni wengine tupo mbali na TV...vp wametwangwa ngapi [emoji1783][emoji1783][emoji1783]