Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Sijalewa ila sipendagi ujinga wa kuifia timu yenu mbovu isiyo na UCL Ina miaka 20 bila kubeba EPL huu ni ujinga wa kiwango cha PhDEti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]
Unafanya napaliwa had chakula
NARUDIA TENA KWA HERUFI KUBWA LETA HISTORY MPYA WEWE NA UCHAFU WAKO MMEBEBA UCL LINI? MAN CITY WAMEBEBA LAST SEASON NINYI TAKATAKA ZENU ZIMEBEBA LINI? KUMFUGA LENS HATA SISI TUMEWAHI WAFUNGA ROMA GOLI 7 UPO HAPO??Shabiki huyu wa manjesta kwa miaka 45 amehama timuView attachment 2829347
Mgekuwa mmewahi kuchukua ubingwa wa UCL ningekuwa kimya lkn ninyi ni wagumba na matasaJasusi Eric ten hag kweli kawaweza nyumbu
Manchester United hata wafungwe segerea miaka 50 arsenal hawataweza kufikia mafanikio yao kama mliweza kuchukua ubingwa bila kupoteza hata mechi Moja lkn hamkufanikiwa kufika hata FAINALI ya UCL ninyi ni useless teamMagwaya amekuwa wamoto hivi karibuni lakini. Bruno naye ni hatari. Lile shuti lake jana, daaah, Manyumbu watuuzie yule mhuni aisee. Kale ka Garnacho nako si haba. Onana aliharibu ila najiuliza mbona hata Manyumbu walivyotangulia, game ilikuwa wazi mno? Kwa nini 7hag hakurejea mbinu zake za premier league za kupaki basi na kuvizia counter? Badala yake wakawa wanapishana mashambulizi, mido kuko wazi mtu anakimbia bila kukabwa utadhani mchezo wa riadha na siyo mpira. Ile game hata ingeisha 7-7 nisingeshangaa.
Tutajirekebisha mkuu. Taratibu tumeanza kujitambua.Manchester United hata wafungwe segerea miaka 50 arsenal hawataweza kufikia mafanikio yao kama mliweza kuchukua ubingwa bila kupoteza hata mechi Moja lkn hamkufanikiwa kufika hata FAINALI ya UCL ninyi ni useless team
Acha hasira kijanaNARUDIA TENA KWA HERUFI KUBWA LETA HISTORY MPYA WEWE NA UCHAFU WAKO MMEBEBA UCL LINI? MAN CITY WAMEBEBA LAST SEASON NINYI TAKATAKA ZENU ZIMEBEBA LINI? KUMFUGA LENS HATA SISI TUMEWAHI WAFUNGA ROMA GOLI 7 UPO HAPO??
Halafu akitolewa sub anakasirika.. dah!😂Tulisema humu Amrabat Ni sajili za kitapeli
Mchezaji alikuwa anakimbizwa na Bajana[emoji1787][emoji1787]
Hivi kwanini big teams zilikuwa hazina mpango nae ,nyie miadanganyika na form yake ya world cup mechi 2
[emoji1787][emoji1787]
Huyu mwamba alichafua matangazo kila Kona ya jiji la dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anachosubiri manjesta kuelekea mechi zijazoView attachment 2829991
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndoo za Mbege au?
Si juzi mlisema anaongoza kwa cleansheetOnana hamna kipa kabisa .
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukicheza na manyumbu wewe kazi yako ni kuhakisha unapeleka shot on target tu. Mengine muachie Onana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwan tumeshatoka Uefa bado tuna nafasi[emoji2][emoji2][emoji2]