Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,293
- 6,901
Lol! Mbona nilikuwa natazama mechi huku tunaongea jamani, kwani hukuwa unasikia sauti ya matangazo ya mpira b...?B... Haya mambo mbona husemi jamani? Kumbe mlinyanyaswa ukajidai uko busy kumbe unaugulia maumivu?
Bahati yako nilipitwa...
Lile gari lililowaka ndio hili ulilotamba last weekend? Wenzenu tunachakaza watu 6-0 na wala hatusemi. Lols
Mdakuzi
Ova