Anfieled, Liverpool.Hii atmosphere hapo Istanbul huipati uwanja wowote pale England
Unaangalia mechi lakini?Anfieled, Liverpool.
Naiangalia ndio lkn bado nakujibu Atmosphere ya pale Anfieled huipati popote pale Ulaya yote.Unaangalia mechi lakini?
Leta bayern, leta bayern hatuna mudaaa. Waleteeee![]()
![]()

Mkuu tafuteni kipa...nawasihi sana tafuteni kipa mapema...nikifikiria ugomvi wenu wa jadi mlio nao na Liverkuku napata mawazo sana siku mtakapowatembelea pale Anfiled na hyu kipa wenuIla Man Utd kwenye suala la kushikilia bomba tuna shida kubwa sana, tunaweza kuongoza hata kwa goli 3 halafu kipindi cha pili zikarudi zote.
Kila nikikumbuka ile mechi ya kwanza tuliocheza na hawa Waturuki pale Old Trafford nafsi yangu inakosa amani.
Kimewakaleo lazima kiwakeView attachment 2825645