Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kesho Hiyo
20231128_114728.jpg
 
Wafanye wawezalo Gala apigwe kwao..Tabu ya hii timu ushindi mmoja kifuatacho ni Vipigo Back to Back...Kama wakimfunga Gala kwao watapata confidence ya kumfunga Bayern pale OT
 
Kobe Mainoo yupo Kati sasahv...ndo tumeanza UEFA rasmi...ngoja uone
Ile mechi ya Everton inadanganya sana watu na hawawezi kuona picha halisi ya timu. Ni kweli Mainoo alicheza vizuri ila huwezi kumtegemea peke yake uwanjani.

Galatasaray huwezi kufananisha na Everton, wana watu wa kutoa adhabu. Huwezi kuruhusu Everton atawale vile halafu leo utegemee kumfunga Gala pale Istanbul kirahisi tu. Kama hawa wachezaji atmosphere ya Copenhagen iliwashinda sijui leo itakuwaje!
 
Mpira dakika 90
Msimu huu kwenye UCL rekodi ya nyumbu ugenini ni 2 games: 0 points. Kipi kinakuaminisha kuwa leo wale wachezaji vilaza (Rashford) wataweza kupata points!

Hii mechi kama kawaida Galatasaray wataingia kama underdogs ila ukiweka vikosi hapa United watakimbizwa.
 
Wafanye wawezalo Gala apigwe kwao..Tabu ya hii timu ushindi mmoja kifuatacho ni Vipigo Back to Back...Kama wakimfunga Gala kwao watapata confidence ya kumfunga Bayern pale OT

Ile mechi ya Everton inadanganya sana watu na hawawezi kuona picha halisi ya timu. Ni kweli Mainoo alicheza vizuri ila huwezi kumtegemea peke yake uwanjani.

Galatasaray huwezi kufananisha na Everton, wana watu wa kutoa adhabu. Huwezi kuruhusu Everton atawale vile halafu leo utegemee kumfunga Gala pale Istanbul kirahisi tu. Kama hawa wachezaji atmosphere ya Copenhagen iliwashinda sijui leo itakuwaje!
Tunashinda leo.
kuhusu kupita 16 bora, tumwachie Mungu
 
Msimu huu kwenye UCL rekodi ya nyumbu ugenini ni 2 games: 0 points. Kipi kinakuaminisha kuwa leo wale wachezaji vilaza (Rashford) wataweza kupata points!

Hii mechi kama kawaida Galatasaray wataingia kama underdogs ila ukiweka vikosi hapa United watakimbizwa.
Rashford leo hayupo ana red na mdg mdg km Anthony tu, wataanza kupigwa bench na ETH mnyama...ni pelistri anaanz na game tunaua.
 
Huyu Kobbie ilitakiwa tumpe ulinzi kabla Arsenal na City hawajamsakizia demu wa kumtia hatiani kama walivyofanya kwa Mason Greenwood na super controller Anthony.
Huyu ni Xavi mtupu kasoro rangi ya ngozi tu.
[emoji1][emoji1][emoji1]
Asipompiga demu mangumi Basi atazinguana na kipara hag. Kama Sancho vile
 
Galatasary Leo wamesema ni amsha amsha dakika zote 90
Simu wanaacha nyumbani, wanaenda kushangilia tu
IMG-20231129-WA0013.jpg
 
Mimi mwenyewe naona alivorudi kikosini kidogo tumeimarika..na ushindi wa hapa na pale umekuwa ukipatikana..na yeye personally sijaona akifanya blunder kubwa.
Mechi ya juzi dhidi ya Everton alikuwa anaeleka kuweka mpira wavuni Mainoo akamuokoa kwenye mstari kabisa
 
Back
Top Bottom