Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1701274904165.png
 
Kama kawaida ya nyumbu, dk 20 za mwanzo unapigwa mpira mkubwa sana baada ya hapo ni vituko.

Hii atmosphere hapo Istanbul huipati uwanja wowote pale England, ndiyo maana watu wanapenda UCL. Mechi lazima iwe na machizi mpira na watoto wa mbwa wakifanya amsha-amsha.
 
Ila Man Utd kwenye suala la kushikilia bomba tuna shida kubwa sana, tunaweza kuongoza hata kwa goli 3 halafu kipindi cha pili zikarudi zote.
Kila nikikumbuka ile mechi ya kwanza tuliocheza na hawa Waturuki pale Old Trafford nafsi yangu inakosa amani.
 
Kama kawaida ya nyumbu, dk 20 za mwanzo unapigwa mpira mkubwa sana baada ya hapo ni vituko.

Hii atmosphere hapo Istanbul huipati uwanja wowote pale England, ndiyo maana watu wanapenda UCL. Mechi lazima iwe na machizi mpira na watoto wa mbwa wakifanya amsha-amsha.

Tulia sasa wanyonyolewe apo apo mjini kwao Kumbe ni machizi
Manchester saiv ni tunachukua points tunaendelea na mambo yetu
 
Back
Top Bottom