NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,802
- 4,391
Asilimia 1 inatosha kufanya maajabuKama unathamini muda wako leo usijisumbue kuangalia mechi. Hakuna kitu cha maana nyumbu wanachoenda kufanya Istanbul. Na haiishii hapo tu nafasi ya kupita kwenda hatua inayofuata ni 1%.
GGMU