Tunakaribia kuzikwa soon maana yajayo sio powMarehemu kupiga chafya
Marehemu kupiga chafya
Asee coming games za moto sanaa
View attachment 2826116


Tunaelewa mpira wetu uzuri tuendelee kujipa moyo tuu yajayo yanafurahisha😅Zote tunashinda kasoro ya Liverkuku Ndio itakuwa sare sare maua![]()
Tunaelewa mpira wetu uzuri tuendelee kujipa moyo tuu yajayo yanafurahisha![]()
Bora wewe msema kweli katika fixture hiyo mkijitahidi sana mnashinda mechi4 mnapigwa2 periodTunaelewa mpira wetu uzuri tuendelee kujipa moyo tuu yajayo yanafurahisha![]()
Tujiandae kwa lolote... GGMUHatutabiriki tumefungwa mechi 5 za ligi, lkn tofauti yetu na anaeongoza ligi ni points 6….
Lolote linaweza kutokea
Uzuri mpira unadunda.. Ambangile anakuambia ukikaa vibaya na mpira wetu tunaiba kombe😅Bora wewe msema kweli katika fixture hiyo mkijitahidi sana mnashinda mechi4 mnapigwa2 period
Tujiandae kwa lolote... GGMU
