Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

EtH akituwekea Pellistri huku kulia na Rashford akaa benchi kutakuwa na shida gani??
Bora Rashford anapoteza mipira lakini angalao anapambana kufungua nafasi na kuipata..Yule mjinga pale katikati anaitwa Masho kagusa mpira mara tatu dakika zoye 45. Hajui hata aji-position vipi.
 
Moto wanao wapelekea Everton, lazima mteme bungo mdomoni

Nini Cha kufanya, kabla hajatafutwa mchawi Nani
Muingize defensive au box to box middle, atoke martial alafu rashford acheze Kama namba tisa
Mtumie winger moja ambae ni ganarcho

Tofauti na hapo, Soma Aya ya kwanza
 
Garnacho kapiga bonge moja la goal

Hio migoli ya namna hio hua inanifanya niwe namkumbuka Wayne Rooney.
Ila timu letu bwana dakika 10 tu za mwanzo ndio walau hua tunacheza mpira unaonekana ila baada ya hapo ni mwendo wa kuzitia phumbu kabali.
Ila leo naona dakika zimeongezeka kidogo, tumecheza mpira wa kueleweka kwa dakika 20 za mwanzo, kipindi cha pili sijui hata hali itakuwaje maana michezaji yetu ikiwa inaongoza kwa goli moja huona tayari kazi waliyotumwa uwanjani wameshaikamilisha wanaanza kurelax.
 
Back
Top Bottom