Huyu inatakiwa kule Instanbul Jumatano aanze.Kobbie what a performance![]()
Tunakaribia kuzikwa soon maana yajayo sio powMarehemu kupiga chafya
Marehemu kupiga chafya
Asee coming games za moto sanaa
View attachment 2826116


Tunaelewa mpira wetu uzuri tuendelee kujipa moyo tuu yajayo yanafurahisha😅Zote tunashinda kasoro ya Liverkuku Ndio itakuwa sare sare maua![]()
Tunaelewa mpira wetu uzuri tuendelee kujipa moyo tuu yajayo yanafurahisha![]()