HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Hili group limekaa vizuri na vibaya sana Kwa hao watatu. Yaani yeyote anaweza kuwa wa pili na hakuna mwenye uhakika wa kwenda Europa au kwenda nyumbani
Hili group limekaa vizuri na vibaya sana Kwa hao watatu. Yaani yeyote anaweza kuwa wa pili na hakuna mwenye uhakika wa kwenda Europa au kwenda nyumbani
Ni mapito tu haya. Timu ikianza kufanya vizuri utamuona tena. Hata labyrinth anafurahi sana tukishinda ila huwa anajificha na kusherekea pembeni. Tukiendelea kushinda zaidi na zaidi atarejea mazima.Timu huhami kizembe huoni bado anajileta humu? Kama yule anayejifanya yupo nyukesto ila kila siku yumo jukwaa la Arsenal
Nitaiga hii😀Ninachoshukuru angalau nimepata namna ya kuacha kuangalia mechi za Manchester, mwaka mmoja nyuma haikuwa inawezekana kabisa hata niwe wapi lazima niangalie game hata msiba wa bibi nilitoka nikaenda kucheki game.
Leo aaah nalala zangu safii moyo wangu unatulia tulii sio kudunda dunda dakika 90. Kuacha kuishabikia siwezi ila nitaangalia matokeo tu basi.
Mnalala mna raha gani umbwa nyie mshafungwa tayari,kazi kutuchania mikeka![]()



Kapambane na europa huko😀😀😀😀Hiki kikundi bwana![]()
Hiki kikundi kinachekesha sanaKapambane na europa huko![]()
Europa hatuwez kwenda msimu ujao tutakuwa kama Chelsea kuzurura tuu EnglandHiki kikundi kinachekesha sana
Jiandaeni
Msimu ujao mtakuwa Europa ,ndo level zenu.

Subirini utaonaEuropa hatuwez kwenda msimu ujao tutakuwa kama Chelsea kuzurura tuu England
