verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Kwaio nyumbu bado zimelala sio?
Ila haikuwa red card.#𝐓𝐫𝐚𝐬𝐡𝐅𝐨𝐫𝐝[emoji706]View attachment 2808288
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa hamna cha false hope, kwa timu hili tulilonalo sisi mashabiki kindakindaki wa Man Utd tunaombea tutolewe mapema, huko mbele kama tutafanikiwa kusonga na hawa kina Maguire basi tutaenda kutia aibu ya karne.tusiwatabirie kuanguka kwanza mpaka waanguke kwanza. Acha wapate false hopes. si unajua kina flano ndio wakwanza kutuita sisi false hopes fc ingawa wao wanachokifanya kinawafanya wastahili hilo jina zaidi yetu
Hatuwatabirii....its a fact mkuu....hii ndo mechi ambayo ilitakiwa wapate matokeo...hzo zilizobaki ni ndoto za mchana kupata points 6 hzo game...huo ubavu hawana kabisaaaatusiwatabirie kuanguka kwanza mpaka waanguke kwanza. Acha wapate false hopes. si unajua kina flano ndio wakwanza kutuita sisi false hopes fc ingawa wao wanachokifanya kinawafanya wastahili hilo jina zaidi yetu
Mimi shabiki wa Brighton.Usijifanye unajitenga na nyumbu wenzako we nyumbu au umesahau kubadili id
Huyu siku hizi yuko na the seagullsUsijifanye unajitenga na nyumbu wenzako we nyumbu au umesahau kubadili id
Timu huhami kizembe huoni bado anajileta humu? Kama yule anayejifanya yupo nyukesto ila kila siku yumo jukwaa la ArsenalHuyu siku hizi yuko na the seagulls
Hili group limekaa vizuri na vibaya sana Kwa hao watatu. Yaani yeyote anaweza kuwa wa pili na hakuna mwenye uhakika wa kwenda Europa au kwenda nyumbani